Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay almanusura kupiga sarakasi Bungeni ili ajengewe barabara jimboni

Kuna baadhi ya majimbo inabidi waoutsource wabunge kutoka sehemu nyingine. Hao jamaa fani yao ni kukimbia,sijui bungeni wanafanya nini
 
Kuanzia sasa, inatakiwa mgombea ubunge yeyote awe na sifa zifuatazo:
1. Minimum: degree ya kwanza kutoka vyuo vifuatavyo peke yake:
a.) University of Dar es Salaam
b.) Muhimbili
c. ) Sokoine
d. ) Aridhi
 
Kuanzia sasa, inatakiwa mgombea ubunge yeyote awe na sifa zifuatazo:
1. Minimum: degree ya kwanza kutoka vyuo vifuatavyo peke yake:
a.) University of Dar es Salaam
b.) Muhimbili
c. ) Sokoine
d. ) Aridhi
Wanasema kuwa uongozi sio elimu hata kukua anaweza akawaongoza so relax man ,afrika bado Sana yaani saana Tena saana. Na ilhali uandikishaji wa sends lazima uwe na CSE
 
Kuanzia sasa, inatakiwa mgombea ubunge yeyote awe na sifa zifuatazo:
1. Minimum: degree ya kwanza kutoka vyuo vifuatavyo peke yake:
a.) University of Dar es Salaam
b.) Muhimbili
c. ) Sokoine
d. ) Aridhi
Degree ifanye nini kwenye ubunge. Kwa mfano Prof. Muhongo ile PhD yake ya nje imelisaidia nini bunge?

Elimu ya Profesa takataka yule wa tume iliyosema maji yamekuwa na sumu kwa kinyesi cha ng'ombe na mbuzi inalisaidia nini taifa? Tena ni lecturer wa UDSM
 
Shida msomi mmoja anazungukwa na wajinga elfu moja..tena wajinga wahuni unategemea nini hapo kama sio kumezwa na wajinga wengi.

#MaendeleoHayanaChama
 
IMG-20220523-WA0023.jpg
 
Mtoto na mama wakiangalia TV nyumbani:

Mtoto: He he he!! mama mama ona baba!! Anafanya nini?
Mama: Anasali, fumba macho!!
 
Back
Top Bottom