YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,910
- 51,902
Ha ha ha .Waziri kazi anayoSasa Mbunge mwenyewe anasema huo mradi ni wa kilaghai
Ha ha ha .Waziri kazi anayoSasa Mbunge mwenyewe anasema huo mradi ni wa kilaghai
Hoja ya kwanini serikali idanganye bado ina mashiko.Hoja kwa nini serikali idanganye?
Huwa nakuhesabu miongoni mwa wenye upeo mkubwa wa uelewa JF, lakini kumbe huna tofauti na akina Nabii Titto? Kazi ya Mbunge ni kutoa hela yake ya mshahara na kuchimba visima?Mbunge unapokea 11M kwa mwezi plus other benefits. Kima cha chini kwa serikali ni 300K hivi tuseme anashindwa kutoa pesa ya mshahara akachimba hata visima vinne tu?...
Mzee ndiyo maana kuna namna ukitenda tunahesabu umeenda extra, beyond duty. Kwa nchi yetu ambayo bado mtu akienda kuomba kura anaahidi maji, umeme na vituo vya afya mbunge ambaye anaweza kwenda extra ni muhimu.Huwa nakuhesabu miongoni mwa wenye upeo mkubwa wa uelewa JF, lakini kumbe huna tofauti na akina Nabii Titto? Kazi ya Mbunge ni kutoa hela yake ya mshahara na kuchimba visima?
Usilinganishe Tz na Kenya. Kila nchi na taratibu zakeHiki kipindi cha maswali na majibu ni maigizo tupu, swali unauliza majibu yanatoka baada ya miezi mitatu.
Yani mbunge apeleke swali linalohusu visima vilivyopo kijijini kwake bungeni, bunge livyapeleke kwa wizara husika, wizara ifanye followup mkoani, mkoani hadi wilayani kwa mkurugenzi kichekesho hiki.
Kwani hatutaki kuzipa local government nguvu ya kudeal na maswala haya central government ibaki na maswala ya kitaifa na ku lay down policies.
Kenya wameivunja nchi kwa counties 42, kila county ina Governor wake mwenye serikali yake inayojiendesha na department zake na vipaumbele vyake.
Nimetumia Kenya kama case study kuonyesha how Devolution works.Usilinganishe Tz na Kenya. Kila nchi na taratibu zake