Mbunge wa mbarali Haroon PirMohamed amedai kwamba kesi feki dhidi yake ni hasira na Visasi vya watawala dhidi yake, kwani alikuwa na ukaribu na utawala uliopita. Hata kesi yake ya ubunge anadai Kuna mkono wa wana CCM.
Lakini hashtuki maana hakuna watakalolifanya Kwa sababu vyombo vya dola na mahakama vinamjua kuwa mtu Safi. Kesi ya Ubunge tutashindana, na hii ya ujangili nalo tutalishinda kwani ni tuhuma na ushahidi wa kupandikiza.
Pirmohammed alikuwa akiongea na wananchi wake waliomshimamisha njiani kumpa pole kutokana na familia yake kuhusu kuhusishwa na ujangili.