Mbunge wa Makambako, Deo Sanga(CCM) apendekeza Rais Magufuli aongoze milele!

Katiba ifuatwe. Astaaf pale muda wake utakapoisha.
Hiki suala la wabunge haswa wa ccm kutka atawale milele.. lina hila nyuma yake.
Hila zenyewe ili wao waweze pia utawala milele kwenye majimbo yao au wabaki kwa muda mrefu kwenye majimbo yao waendelee kutahirika.

Rais hana nia mbaya.. wabunge ndio wasio na nia njema
Naunga MKONYO hoja

Ikiwezekana aongoze Hata Baada ya Milele

Magu Kwa Wa TZ Ni Kama Manji Kwa wana Yanga

Wanyonge tuna Mu admire Sana Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na maarifa na kuwa na akili.
Shule tunafuata maarifa si akili, lakin kwenye maarifa hayo wapo watakao adapt fast. Wapo watakao kuwa wa mwisho a.k.a vilaza.. ambao no matter what mwalimu apige kelele hawatoelewa ...
Deo namweka ktk darasa la vilaza.. why? Baada ya kukaa kwenye ubunge miaka yote. Licha ya elim ndogo.. lakin bado analeta mada isiyo na manufaa kwa nchi.
Hajawahi kuingia darasani ila ana akili saaana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuiba mtihani sio akili. Bali ni kudanganya.. hana tofauti na tapeli. Mtihan umekuwa designed kupima uelewa wa muhusika.. kama muhusika ataukwepa basi atakuwa amejidanganya.
Kama Mwanafunzi kaweza kuiba Mitihani Na kufaulu hiyo Pia Ni akili Ila huwezi kuijua Kwa Kuwa una nakisi ya ufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comedian D.Sanga ametudi tena na hoja yake.
Screenshot_2021-02-04-07-33-34-155_com.twitter.android.jpeg
 
Hakuna neno zuri la kumpa huyu mbunge zaidi ya kumuita mjinga na mpumbavu......unaapa kulinda katiba baada ya miezi kadhaa unavunja katiba.....huyu dingi hata katiba usikute hajawahi kuiona
 
Back
Top Bottom