Mbunge wa Mafia na Ubaguzi wa maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Mafia na Ubaguzi wa maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kirongwekwetu, Apr 14, 2011.

 1. Kirongwekwetu

  Kirongwekwetu Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia.
  wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu.
  1)PALE Kirongwe. Shule ya Sekondari haina walimu, haina umeme na haina maabara lakn huko kwao Kitomondo shule imejaa walimu , ina umeme na maabra
  2) kaskazini hakuna barabara . Kule kwao kusini anaiboresha barabara japo kwa kutumia madongo.
  KUBWA ZAIDI AMEKASIRIKA KUONA KASKAZINI KUMEJENGWA SHULE KWA MSAADA WA FADHILI JAMBO LILOMFANYA KUKATAA KATAKATA KUSHIRIKIANA NA WALIMU, KAMATI YA WAZEE.

  HAJALI WATU WA KASKAZINI KIMAENDELEO
   
 2. K

  KWELIMT Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Eeh mungu wangu 2nakuomba wabunge kama hawa usiwajalie 2015!
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ..the answer is simple, Kaskazini mfano Bweni, Kanga, Kirongwe nk ni extremists wa CUF so unategemea nini kwa watu wa visasi wa CCM?
   
 4. Kirongwekwetu

  Kirongwekwetu Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  basi najitokeza kupambana kuondoa ufisadi huu
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna mush'keri kwenye habari yako.

  Itakuwa vizuri sana kuzijua kazi za mmbunge na kazi za baraza la madiwani chini ya mwenyekiti wa Halmashauri ambazo zinaongoza Halmashauri nzima ya Mafia.

  Kwa kukusaidia, kazi ya mbunge sio kupeleka (allocate) waalimu au kujenga barabara. Hizo ni kazi za baraza la madiwani mbunge akiwa ni mjumbe ikishirikiana na halmashauri.

  Sasa naona inakuwa sio busara kushusha tuhuma hizo kwa mbunge pekee labda ulilaumu baraza zima la madiwani na halmashauri nzima.

  Tufikiri kabla kuandika, isije ukawa una chuki binafsi na mbunge.
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Natoa wito kwa wamafia wenzangu tuunganishe nguvu na kukiletea maendeleo kisiwa chetu.
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Ni sababu zipi alizozitoa kukataa kuwemo ktk kamati ya wazee? Na ktk shule ipi ya Bweni/kirongwe?
   
Loading...