SULEIMAN ABEID
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 390
- 385
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
Labda wewe si Mtanzania yaani MACCM yampinge mtu aliyekwenye kiti cha urais?Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani,then anakwenda kubadilisha katibu na mwenezi, baadae atachagua viongozi wa Tume then mgombea wa ccm mwaka 2025 na ataiba uchaguzi kama kawaida ya maccm. Labda hao jamaa unaosema kanda ya ziwa wapiganie kwanza katiba maana katiba nzuri inaweza kusaidia vilevile demokrasi kwenye vyama lakini kwa katiba hii wanasiasa wanaishi kwa kutegemea upepo tuKwà uelewa wangu,kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Kwà uelewa wangu,kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Labda wewe si Mtanzania yaani MACCM yampinge mtu aliyekwenye kiti cha urais?Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani,then anakwenda kubadilisha katibu na mwenezi, baadae atachagua viongozi wa Tume then mgombea wa ccm mwaka 2025 na ataiba uchaguzi kama kawaida ya maccm. Labda hao jamaa unaosema kanda ya ziwa wapiganie kwanza katiba maana katiba nzuri inaweza kusaidia vilevile demokrasi kwenye vyama lakini kwa katiba hii wanasiasa wanaishi kwa kutegemea upepo tu
Wasukuma hatuwezi kuwapa tena hii nchi. Tumejuta sana kwa miaka hii mi5Iwapo mwaka 2025 mgombea urais wa ccm atakuwa mzaliwa wa zanzibar, na mpinzani akatokea kanda ya ziwa, na ikatokea aliyetokea kanda ya ziwa anakubalika Mwanza,dar na mbeya . Mambo yatakuwa sio mambo. Hii ngoma mtasikia radioni.
waliharibu sana hawastahili tena never and never againWasukuma hatuwezi kuwapa tena hii nchi. Tumejuta sana kwa miaka hii mi5
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
hatuongozwii na ukabili nchi hata wawe milioni ngapi kuturudisha nyuma never again mungu katutoa misri machi17Mtambue wasukuma wanayo kura ya turufu
Mkuu siyo mwaka huu, sema kabisa mwezi huu. Mama anaenda kupewa kiti mwezi huu kwenye mkutano mkuu ulioitishwa ukiwa na agenda hiyo kuu ya kuchagua Mwenyekiti wa ma-CCM. Hivyo anayeota kuja na mgombea wake atakuwa mgonjwa wa akili!Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani
Jamani Wasukuma msituhukumu namna hiyo, huyo jamaa hakuwa Msukuma bali alikuwa Mgeni huku usukumani, kwa hiyo tusihukumiwe kwa ajili ya ubovu wa mgeni!Wasukuma hatuwezi kuwapa tena hii nchi. Tumejuta sana kwa miaka hii mi5