Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina atoa ufafanuzi juu ya mchango aliotoa Bungeni kwenye Hotuba ya Waziri Mkuu

Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.

Bwana Mpina natumai utakumbukwa kama mmojawapo wa mawaziri waliosimamia majukumu yao kwa staili ya ukatiri, uvunjaji wa sheria na haki za binadamu. Ulijitwisha kazi za mkamataji, mtoa hukumu na mtekelezaji hukumu ktk kupambana na wavuvi n.k. it was impunity at worst level in our history. Hata Rais Magufuli pmj na ukali wako aliamua kukupumzisha unceremoniously ktk uteuzi wa mawaziri.
Kuhusu ATCL unapotosha. Ripoti ya CAG imebaini hasara kwa mlengo wa taratibu za kiuhasibu. Period! Hii habari ya kusema kampuni zote za ndege duniani hupata hasara siyo jukumu lao. Lkn itakumbukwa pia tumekuwa tukiambiwa eti atcl inazalisha faida mpk kutoa gawio serikalini! Really??
 
Hizi siasa mnazoendelea nazo kuna siku Wasukuma uzalendo utawashinda nyie endeleeni.
Wanaoleta hizi chokochoko za 'SUKUMA GANG' ni MATAGA walio nyuma ya keyboards wakijitahidi kuwasha moto kwa kuwagawa wananchi dhidi ya serikali ya awamu ya sita! ... mbinu nyingine ni kumhusisha JK kwamba ati ndiye rais nyuma ya mapazia!

HATARI SANA!
👊 :cool:✌️💥
 
Iwapo mwaka 2025 mgombea urais wa ccm atakuwa mzaliwa wa zanzibar, na mpinzani akatokea kanda ya ziwa, na ikatokea aliyetokea kanda ya ziwa anakubalika Mwanza,dar na mbeya . Mambo yatakuwa sio mambo. Hii ngoma mtasikia radioni.
Kwa Tume hii?
 
Back
Top Bottom