Mbunge wa Kisarawe kiingereza bado ni alien language

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Duh..mbunge wa Kisarawe kiingereza bado ni alien language. Huyu jamaa kuanzia matamshi, hadi kuweka vyema asemacho ili aeleweke.
 
Wanajamvi,

Kwa kile kinachoendelea bungeni, wabunge wanaomba uwakirishi kwenye forum mbalimbali. Kwa upande wa mpambano wa Mh. Jaffo wa kisarawe mambo yamekuwa magumu kutokana na kutumia nguvu nyingi kuumba sentensi kwa kimombo kiasi cha kuwa na Kigugumizi.
Wabunge wamemuogopa Mh. Retisia Mageni Nyerere kunyoosha kimombo.

My take.
Kama lugha inakupiga chenga kwanini ung'ang'anie?
 
Nipo ninatazama bunge hapa. Baadhi ya wabunge wanaomba kura kwenye post katika institutions mbalimbali. Dah wale wanaojieleza kwa kingereza mpaka naona aibu. Kingereza kibovu kibovu kibovu...hakuna flow katika kujieleza hata wale wanaojieleza kwa kiswahili. Wengine wanatetemeka. Dah nchi yetu bado sana kama hawa ndo krimu yetu!???? Dah mpaka nimeona aibu ingawa niko mwenyewe ndani. Hawa ndo wanatakiwa kuleta mabadiliko katika jamii yetu?
 
I am listening to Lolensia. Its interesting. Kuna haja ya kureview curriculum yetu ili kuona ni namna gani tunaweza kuboresha somo la kiingereza katika nchi yetu. At a master level kushindwa kujieleza kwa kiingereza, kwa kweli ina mengi ya kutueleza kuhusu elimu yetu.
 
Humo ndani kuna pumba nyingi sana ndio maana hawajiamini na wengi wao hajui wajibu wao utasikia wanaisemea serikali, ni mbumbumbu haoooooooooooooooooooo
 
Nipo ninatazama bunge hapa. Baadhi ya wabunge wanaomba kura kwenye post katika institutions mbalimbali. Dah wale wanaojieleza kwa kingereza mpaka naona aibu. Kingereza kibovu kibovu kibovu...hakuna flow katika kujieleza hata wale wanaojieleza kwa kiswahili. Wengine wanatetemeka. Dah nchi yetu bado sana kama hawa ndo krimu yetu!???? Dah mpaka nimeona aibu ingawa niko mwenyewe ndani. Hawa ndo wanatakiwa kuleta mabadiliko katika jamii yetu?

kwani kujua kingereza ndo kutaleta mabadiliko???
Mbona wabunge wa china hawakijui na wana maendeleo?

Japo ni vyema kujua kingereza vizuri lakini haimaanishi kuwa eti ndo maendeleo yatakuja
kwanza bunge linaendeshwa kwa kiswahili!
 
Muongozaji ambae ni Madam Spika kaanza kwa kiingereza lakini sentensi (distribute ballot papers please) imemshinda ikabidi arudi Pugu Road..... Igiliza sauti yake kutengeneza sentensi ya kiswahili kwa kubadilisha niliyoiweka kwenye mabano hapo juu.
 
Wanajamvi,

Kwa kile kinachoendelea bungeni, wabunge wanaomba uwakirishi kwenye forum mbalimbali. Kwa upande wa mpambano wa Mh. Jaffo wa kisarawe mambo yamekuwa magumu kutokana na kutumia nguvu nyingi kuumba sentensi kwa kimombo kiasi cha kuwa na Kigugumizi.
Wabunge wamemuogopa Mh. Retisia Mageni Nyerere kunyoosha kimombo.

My take.
Kama lugha inakupiga chenga kwanini ung'ang'anie?

Huyu mbunge aneitwa lolensia ni viti maalum au amechaguliwa na wananchi,daaaaaah!
 
Very interesting to Lolensia! Na naambiwa ana hold masters!

Jamani mfumo wa elimu yetu tunaposema ni mbovu ni mbovu kweli, hata kama huyu mdada ana hold masters haimanishi anaweza kujieleza kiingereza na inawezekana ana akili lakini hajapikwa kuwa na uwezo wa kujieleza mbele ya public kwa kiingereza, tuchague jamani Kiswahili ama Kiingereza kwani kwa lugha zote hizi hatuna uwezo nazo kwa mfumo wa sasa.
 
Muongozaji ambae ni Madam Spika kaanza kwa kiingereza lakini sentensi (distribute ballot papers please) imemshinda ikabidi arudi Pugu Road..... Igiliza sauti yake kutengeneza sentensi ya kiswahili kwa kubadilisha niliyoiweka kwenye mabano hapo juu.

Asanthe RASMU mpya ya katiba kufuta viti maalum maana hawa wamama ni wabunge Wa UPE
 
kwani kujua kingereza ndo kutaleta mabadiliko???
Mbona wabunge wa china hawakijui na wana maendeleo?

Japo ni vyema kujua kingereza vizuri lakini haimaanishi kuwa eti ndo maendeleo yatakuja
kwanza bunge linaendeshwa kwa kiswahili!

1. Wachina wachapakazi sana,ukiangalia taifa la china lilivyoumbwa na kina mao utanielewa. Wachina usiwalinganishe na wapiga porojo kama sisi. Wachina hao walitujengea reli ambayo hakuna infrastructure ya maana mpya tuliyojenga.
2. Ili china awe superpower ni lazima wasomi wake na watendaji wake wakuu(sio wapiga kura) wajue kingereza,mpaka wakati huo ndo china itaipiku marekani.
3. Population ya china over 2 billion people. Dunia ina watu bilioni 7! Unajua hiyo inamaanisha nini kiuchumi? Unaweza kujilinganisha na china?
 
Jamani hizi takwimu mnazipata wapi wapi? Wachina wako billion 2? Ama kweli Jamii Forum!
 
hatuhitaji kuboresha kiingereza ila kuboresha kiswahili
I am listening to Lolensia. Its interesting. Kuna haja ya kureview curriculum yetu ili kuona ni namna gani tunaweza kuboresha somo la kiingereza katika nchi yetu. At a master level kushindwa kujieleza kwa kiingereza, kwa kweli ina mengi ya kutueleza kuhusu elimu yetu.
 
hatuhitaji kuboresha kiingereza ila kuboresha kiswahili
Nchi maskini kama Tanzania ambayo ni dependent kwa kila kitu watu wake wanaongelea kuboresha Kiswahili??? Kwani Nyerere hakuona thamani ya Kiswahili wakati huo hadi akapendekeza language of instructions kuanzia secondary iwe ni kiingereza?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom