Mbunge wa Kinondoni umefeli kupambana na Madawa ya kulevya!

Wewe jamaa nadhani utakuwa na shida kwenye kichwa chako au una ugomvi binafsi na mbuge tajwa
Mbunge kwenye hili hajaonesha jitihda zozote, mfano pale manyanya kituoni kuna mateja kama 100 hivi Na ni umbali wa mita kama 300 hivi toka chadema makao makuu! Nao kimyaaa!
 
Mmezoea serikali hii inafanya kazi kwa kutafuta kiki.hata alichokifanya mkuu wa mkoa ni kiki tu,eti tunda anauza unga wakati kuna mapapa hajayataja na lazima atakuwa ana taarifa zao.
Kuna faida gani kuwa Na mbunge ambaye anashindwa kufanya initiative yoyote kupunguza tatizo la madawa ya kulevya jimboni mwake! Hana msaada wowote kwa wananchi wa kinondoni!

Swala Na madawa ya kulevya ni tatizo kinondoni unless yeye ubunge wake hauhusiani Na hili au halioni kama ni tatizo!
 
Jimbo LA mbunge wa ukawa linaongoza kwa madawa ya kulevya yeye amekaa kimya tu! Hata kutoa sauti kutuzuga kua anania ya kupambana na hiyo hali hakuna!

Utachekwa ww, unasema kupambana na unga halafu unatamtaja mbunge wa upinzani kupambana na drug dealers? Labda kama hujui unasema nini. Kuna mwenzako alikuwa amiri jeshi mkuu vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake akaishia kusema ana majina na anawafahamu na bado hakufanya lolote. Kaingia huyu aliyepeleka mpaka jeshi Znz kuhakikisha chama chake kinashinda, list iko mezani kwake lakini kila akiiangalia akija jukwaani anaomba aombewe, sembuse mbunge wa upinzani ambaye hawezi hata kumrisha jeshi la mgambo? Acha utani bana, ukitaka kujua unga ni balaa ngoja huyu kichuguu aliyewashindwa hata mashoga uone atakavyobadili maneno baada ya muda mfupi. Kitu ambacho nina hakika nacho, sasa hivi huyo kichuguu ataanza kuwa tajiri wa kutupwa na ndio itakuwa mwisho wake katika vita hii!!
 
Tuwe wa kweli. Jukumu la usalama wa raia na mali zao ni serikali. Kudhibiti vitendo vya kiharifu ni jukumu la serikali.
Kushirikisha wananchi katika mapambano dhidi ya uharifu ni jukumu la serikali. Wananchi wanaweza wakatoa taarifa kuhusu vitendo vya kiharifu, serikali ndiyo huchukua hata.
Kiongozi wa serikali akitamka kwamba hataki community policing, tutegemee nini?
Kumtegemea mbunge apambane na adhibiti madawa ya kulevya ni kupoteza lengo la mapambano ya kweli dhidi ya madawa ya kulevya.
 
Unajustify kushindwa kwake kwa kulinganisha na wengine! Mimi nampima yeye kutokana na debates zilizokuwa zikiendelea kipindi cha uchaguzi mkuu! Na ukizingatia kua jimbo lake ndilo limeathirika kwa kiasi kikubwa!

Sasa kama hata hamna dalili za kulitatua tatizo kwanini tusiulize???
 
Kwa minajili hiyo hakuna haja ya kuwa na bunge na wabunge! Tulivunje tu tubakiwe na serikali kuu!
 
Ngoja nikutajie kazi za mbunge maana naona hujui wajibu wake:
  1. Kutunga sheria bungeni
  2. Muwakilishi wa wananchi wa jimbo lake bungeni.
  3. Kuishauri na kuisimamia serekali
Hayo ndio majukumu ya mbunge kisheria. Hayo mengine ni ya serekali inayotamba ina dola.
 
Kwani mpaka sasa hivi lipo au ni kamati ya ccm inayotumia jengo la bunge kupitisha mambo ya serekali?
 
Ngoja nikutajie kazi za mbunge maana naona hujui wajibu wake:
  1. Kutunga sheria bungeni
  2. Muwakilishi wa wananchi wa jimbo lake bungeni.
  3. Kuishauri na kuisimamia serekali
Hayo ndio majukumu ya mbunge kisheria. Hayo mengine ni ya serekali inayotamba ina dola.
Kwa mfano wabunge wa upinzani walipokua wanasema kuna njaa! Swala LA kutangaza kua njaa ipo lipo namba ngapi katika list yako?
 
Hili zigo la mavi lazima mlibebe CCM hakuna wa kumtupia wauzaji ni nyie na watumiaji ni nyie si tumeona wote waliopelekwa Polisi juzi ni makada wa CCM.
 
Kwa mfano wabunge wa upinzani walipokua wanasema kuna njaa! Swala LA kutangaza kua njaa ipo lipo namba ngapi katika list yako?

Namba tatu, kuisimamia na kuishauri serekali.
 
Jimbo LA kinondoni ni kati ya maeneo ambayo shughuli na watu wanaojihusiaha na madawa ya kulevya wameliteka!

Ukitaka kuona mateja wa kila namna pitia kinondoni! Kinondoni ndiko biashara ilipo kwa wingi na ndiko watumiaji walipo kwa wingi kuliko maeneo mengine yoyote!

Sijui mbunge wa hili jimbo anampango gani au amejitoa namna gani kuhakikisha kua wapiga kura wa eneo hili hawapati madhara ya vilevi hivyo haramu!

Ni kama vile jimbo limemshinda mbunge wa jimbo hili kupitia CUF kwani hakuna jambo linaloonekana kufanywa nae walu kupunguza au kuondoa tatizo tukitilia maanani kwamba mbunge ni sehemu ya wananchi na anawajibika kwao hata kwa mambo kama haya!
Makonda alikuwa DC KINONDONI alifanya nn alipokuwa DC??
 
Back
Top Bottom