Mbunge wa Kigamboni Live kwenye Makutano Show

TinyMonster

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
248
154
Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile anaongea Live kwenye kipindi cha Makutano Magic FM na Fina Mango akiongelea kuhusu ishu ya mji mpya wa Kigamboni
 
Another episode! Yaani ccm huwa wanafanya watu mataahiraaaaa! Puuuuuuuu!
 
Anasema wananchi hawakuhusishwa katika mradi ikiwepo uvunjwaji wa sheria ya uendeshaji wa miji
 
Another episode! Yaani ccm huwa wanafanya watu mataahiraaaaa! Puuuuuuuu!

Hivi unajua habari ya city train iliwahi kupigiwa debe na J.S Malecela enzi za Mwinyi lakini CCM waliweka magunzi masikioni, mpaka juzi ndio Mwakyembe kalifanikisha....heheheh
 
Serikali haijatoa majibu ya msingi kuhusu lini mradi utaanza, maeneo gani yataguswa na pia haki zao zitakuwaje
 
huyo mbunge hana hitimisho juu ya mradi wa kigamboni.?
 
Anasema haofii kuwa watu wakijitoa ndani ya CCM na kuunda chama cha upinzani itaathiri itaachama anadai chama kina hazina kubwa ya viongozi
 
Back
Top Bottom