Mbunge wa Kenya atoa ya moyoni, akiri kwamba alikua akidharau Tanzania kwa kutoifahamu vizuri.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Hili liwe ni fundisho kwa wakenya wengi ambao hawajatembea na kuona mambo yabayofanyika nje ya nchi yao, hata Tanzania. Wakenya wengi wamekua wakitawaliwa na ujinga wakudhani kwamba Kila wanachoambiwa na TV zao ni sahihi, wengi hawatembei na kujionea. Karibuni wakenya mje mjifunze dunia inavyoendeshwa" Kenyans wake up"
 
Ile kwenye miji iliyoendelea si kila park lazima iwe na sport facilities! hizo basketball courts na swimming pools zinakuwa na sehemu zake na pia kunakuwa na parks za kupumzika au kutembea au kukaa kusoma kitabu! wasijenge kila kwenye park! Ninavyoona mimi concept ya green park hawaizingatii!
 
Wa-Kenya mnakaribishwa hapa JamiiForums mpate ufahamu na kujielimisha mengi yanayofanyika nchi jirani lakini kwa makusudi magenge ya wanufaika wachache Kenya yanawafanya kutoyamfahamu.

Mnakaribishwa Tanzania na mnaruhusiwa kushangaa.
 
Hili liwe ni fundisho kwa wakenya wengi ambao hawajatembea na kuona mambo yabayofanyika nje ya nchi yao, hata Tanzania. Wakenya wengi wamekua wakitawaliwa na ujinga wakudhani kwamba Kila wanachoambiwa na TV zao ni sahihi, wengi hawatembei na kujionea. Karibuni wakenya mje mjifunze dunia inavyoendeshwa" Kenyans wake up"

Hahahaa, huyo mbunge wao Kikuyu amemaliza ubishi, nadhani ndugu zake hapa Jamnvini wameelimika sasa:)
 
Wakenya wengi ni kama huyo mbunge mkikuyu, ni watu wenyekujiona sana na kudhani Kenya ni kila kitu, wengi wanaendekeza "Ego", hawajui Tanzania kabisa, ila kila mwenyekubahatika kuja Tanzania, akirudi anakuwa mdogo kama sisimizi, wanakuwa na heshima sana kwa Tanzania.
 
Kenya ni zamani miaka ya 70 huko ila saivi hamna kitu, wengi wao bado wana ile perception kwamba wao ndio kila kitu na wanajua pia Tanzania ni ya zamani kama wao walivyo wa zamani, wakija Tanzania waone mambo makubwa yaliyofanyika miaka ya hivi karibuni wanapigwa na butwaa
 
Wa-Kenya mnakaribishwa hapa JamiiForums mpate ufahamu na kujielimisha mengi yanayofanyika nchi jirani lakini kwa makusudi magenge ya wanufaika wachache Kenya yanawafanya kutoyamfahamu.

Mnakaribishwa Tanzania na mnaruhusiwa kushangaa.
Pengine tuje kujifahamisha jinsi nchi LDC inavyofanana kwani ni miaka mitano sasa baada ya kutoka LDC.
 
Tony254, karibu Tanzania uje kujionea, acha kuendelea kujipiga kifua, huo ni ujinga, "Tanzania is a model country in Afrika" kwasasa
 
Huyo Donk aliwasifu maana alikua huko ila sio eti mkijenga bustani mnapigia watu kelele mbona hayo Mambo ya kawaida tu? Hapa kwetu bustani zipo kibao.
Ndio sababu alitoa msemo toka kabila la Kikuyu, alisema hivi " Kama hujasafiri, basi unadhani mama yako ndiye mpishi mzuri kuliko watu wote duniani ". Aliposema Dodoma itakuwa the best city in Africa, unadhani ni kwasababu ya bustan?
1) Dodoma tunajenga stadium kubwa kuliko zote Afrika, Second to Soccer city in South Afrika.
2)Dodoma tunajenga the second biggest Airport, second to JNIA
3)Dodoma tunajenga BRT & Light railway
4)Dodoma tunajenga Uhuru Hospital, the biggest in East and Central Africa
5)Tunajenga soko kubwa lakisasa lenye Huduma zote, zikiwemo malls, Banks, Cinema, .....
Huyo mbunge amesema tembea uone, acheni kujifungia Kibera
 
Hili liwe ni fundisho kwa wakenya wengi ambao hawajatembea na kuona mambo yabayofanyika nje ya nchi yao, hata Tanzania. Wakenya wengi wamekua wakitawaliwa na ujinga wakudhani kwamba Kila wanachoambiwa na TV zao ni sahihi, wengi hawatembei na kujionea. Karibuni wakenya mje mjifunze dunia inavyoendeshwa" Kenyans wake up"

Kila mara mimi husema Mbongo ni mtu aliye na akili kama ya mtoto mdogo ya kusisimuliwa na vitu vya kawaida sana. Ni kitu cha kwaida sana viongozi wa nchi moja wakitembelea nchi nyengine kusema mema kuhusu nchi hiyo. Hata Trump akija huko, atawasifia. Obama alivyokuja, aliwasifia. Hili halimaanishi Tanzania ni bora kuliko Marekani, la. Ni kitu kinachoitwa common courtesy kwa lugha ya kimombo. Yaani siwezi nikaja kwa nyumba yako alafu nianze kukusema vibaya. Nikija, nitapuuza kile nitakachokiona kibovu na kuongelea kile chema. Huo ni ukarimu tu wa kawaida. Same way Theresa May alipokuja Kenya alisifia jinsi kila Mkenya alivyo mwanabiashara na jinsi Mobile money ilivyo bora na hata kasema ni mfano kwa Uingereza. Hili halimaanishi economy ya Kenya iko poa kuliko uingereza, la. Ni ukarimu tu, ukiwa kwa nyumba ya mtu ni vyema umsifie kidogo kama shukrani ya kukupokea. Hata huyo Magufuli wenu huisema Kenya vibaya sana kwa maongezi yake ila alipokuwa Kenya aliisifia Southern, Nothern and Eastern Bypass na akasema ni mfano kwa nchi za East Africa kuiga. Kwa hivo msiwe mnasisimuliwa na vitu vidogo vidogo kama hivi. Hata mimi naja Zanzibar mwezi wa Februari matembezi na nitasema mema kuhusu Tanzania kwa wale Watanzania nitakao kutana nao. Ukarimu tuu.
 
Ndio sababu alitoa msemo toka kabila la Kikuyu, alisema hivi " Kama hujasafiri, basi unadhani mama yako ndiye mpishi mzuri kuliko watu wote duniani ". Aliposema Dodoma itakuwa the best city in Africa, unadhani ni kwasababu ya bustan?
1) Dodoma tunajenga stadium kubwa kuliko zote Afrika, Second to Soccer city in South Afrika.
2)Dodoma tunajenga the second biggest Airport, second to JNIA
3)Dodoma tunajenga BRT & Light railway
4)Dodoma tunajenga Uhuru Hospital, the biggest in East and Central Africa
5)Tunajenga soko kubwa lakisasa lenye Huduma zote, zikiwemo malls, Banks, Cinema, .....
Huyo mbunge amesema tembea uone, acheni kujifungia Kibera

Mkenya wa kawaida ni mtu aliyezuru na kutembea zaidi ya Mtanzania. Wacha sisi wakenya tukueleze manufaa ya kutembea, sio wewe.
 
Kila mara mimi husema Mbongo ni mtu aliye na akili kama ya mtoto mdogo ya kusisimuliwa na vitu vya kawaida sana. Ni kitu cha kwaida sana viongozi wa nchi moja wakitembelea nchi nyengine kusema mema kuhusu nchi hiyo. Hata Trump akija huko, atawasifia. Obama alivyokuja, aliwasifia. Hili halimaanishi Tanzania ni bora kuliko Marekani, la. Ni kitu kinachoitwa common courtesy kwa lugha ya kimombo. Yaani siwezi nikaja kwa nyumba yako alafu nianze kukusema vibaya. Nikija, nitapuuza kile nitakachokiona kibovu na kuongelea kile chema. Huo ni ukarimu tu wa kawaida. Same way Theresa May alipokuja Kenya alisifia jinsi kila Mkenya alivyo mwanabiashara na jinsi Mobile money ilivyo bora na hata kasema ni mfano kwa Uingereza. Hili halimaanishi economy ya Kenya iko poa kuliko uingereza, la. Ni ukarimu tu, ukiwa kwa nyumba ya mtu ni vyema umsifie kidogo kama shukrani ya kukupokea. Hata huyo Magufuli wenu huisema Kenya vibaya sana kwa maongezi yake ila alipokuwa Kenya aliisifia Southern, Nothern and Eastern Bypass na akasema ni mfano kwa nchi za East Africa kuiga. Kwa hivo msiwe mnasisimuliwa na vitu vidogo vidogo kama hivi. Hata mimi naja Zanzibar mwezi wa Februari matembezi na nitasema mema kuhusu Tanzania kwa wale Watanzania nitakao kutana nao. Ukarimu tuu.
Hahahaha, na hao akina Sonko, Prezoo, Muthama, na mamilioni ya wakenya wanaosifia mitandaoni na kumponda Uhuru Kenyatta nao vipi?. Lazima mkubaliane na ukweli katika hili. Hahahaha, hahahaha
 
Wanaosifia nani?

Kuna sababu mimi hupenda kujadiliana na tuusan maanake yeye huwa timamu wala sii ubishi usio na maana kama wewe.

Kenya ni nchi huru zaidi ukanda huu wa Afrika (na hata Afrika nzima nikidhani). Sisi huku hatufungwi jela kwa kutoa maoni yetu kuhusu serikali na rahisi. Kama Rais akiendesha nchi vibaya, tutamsema tu na hakuna kiongozi perfect kwa hivo tutaendelea kumsema Rais wetu kila kuchao. Ukitazama duniani, nchi zilizoendelea zaidi ndizo hukosoa viongozi wao zaidi kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani n.k. Kenya is not a dictatorship. Nashangaa sana ukitumia ushahidi wa Wakenya kumkosoa rahisi kuonyesha jinsi Tz ilivyo bora. Huo ni ujinga.
 
Povu
 
Hivi kweli katika watu wenye akili hapa JF na wewe unajihesabu kama una akili?.
1)Mimi ninazungumzia wakenya kumsifia Magufuli, wewe unaleta habari za wakenya kumkosoa Uhuru Kenyatta, huo ni Ukosefu wa akili.
2)Transparency International siku zote imeiweka Kenya kuwa ni miongoni mwa nchi zisizokua na Uhuru na nchi inayokiuka haki za binadamu. Miaka yote tangu Kenya na Tanzania zipate Uhuru, hakuna mwaka hata mmoja Kenya iliizidi Tanzania katika Uhuru wa kujieleza au haki za binadamu, ni katika kipindi hiki cha Magufuli ndio kwa Mara ya kwanza Tanzania imewekwa chini ya Kenya, hiyo haina maana kwamba Kenya inafanya vizuri, bado Kenya ipo katika nafasi ya chini sana Afrika katika nchi zenye demokrasia na Uhuru wa kujieleza, lete list ya 2018 ya Transparency International tuone nafasi ya Kenya Africa. Tatizo lenu mnahazana ujinga kwamba eti Kenya ina demokrasia, katika Afrika Kenya hapo katika top 20 ya nchi zenye demokrasia.
 
Mimi hushangazwa sana na walimwengu. Wale wajinga zaidi ndio hupenda kuita wengina wajinga. Hivi ndivyo ulivyoandika wee mwehu.

Hahahaha, na hao akina Sonko, Prezoo, Muthama, na mamilioni ya wakenya wanaosifia mitandaoni na kumponda Uhuru Kenyatta nao vipi?. Lazima mkubaliane na ukweli katika hili. Hahahaha, hahahaha
Hapo wapi umeandika jina Magufuli? Kisha nikakuuliza pale wanasifia nini, hujajibu ila umeniita mjinga kwa sababu ya ujinga wako. Hapo kwenye bold ni nini ulichooandika? Sasa mbona unaniita mjinga kwa kujibu swali uliloouliza?

2)Transparency International siku zote imeiweka Kenya kuwa ni miongoni mwa nchi zisizokua na Uhuru na nchi inayokiuka haki za binadamu. Miaka yote tangu Kenya na Tanzania zipate Uhuru, hakuna mwaka hata mmoja Kenya iliizidi Tanzania katika Uhuru wa kujieleza au haki za binadamu, ni katika kipindi hiki cha Magufuli ndio kwa Mara ya kwanza Tanzania imewekwa chini ya Kenya, hiyo haina maana kwamba Kenya inafanya vizuri, bado Kenya ipo katika nafasi ya chini sana Afrika katika nchi zenye demokrasia na Uhuru wa kujieleza, lete list ya 2018 ya Transparency International tuone nafasi ya Kenya Africa. Tatizo lenu mnahazana ujinga kwamba eti Kenya ina demokrasia, katika Afrika Kenya hapo katika top 20 ya nchi zenye demokrasia.

Kwa vyovyote tunavyobishania humu nadhani uhuru wa mwananchi ndicho kitu huwezi bishana eti Tanzania ipo mbele ya Kenya, hata Watanzania wengine humu wanajua Tanzania ni nchi ya kidikteta sana ukilinganisha na Kenya. Hapa hamna haja yangu kupingana nawe maana ndovu hawezi pigana na swara kuonyesha nguvu zake.
 
Back
Top Bottom