Mbunge wa Kenya afuata nyayo za Prof. Kabudi, atoa hotuba nzuri kwa Kiswahili safi sana

Leo raia wa Magufulistan anawapa wakenya mawaidha kuhusu katiba na demokrasia, maajabu haya. Nasikia huko mmevunja rekodi ya dunia baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 99.
Nani aliyewapa mawaidha?, nimeuliza kuhusu ile katiba iliyosemekana ni bora duniani, vipi tena mnasema kwamba haifai inakandamiza demokrasia?
 
Pambana na hali yako, mbona mkanunua madiwani watano wa Arusha kutoka chadema wajiuzulu ili wajiunge na CCM? Mbona ukandamizaji wa demokrasia kiasi hicho kwamba mpinzani una muona adui?. Yule aliekua mgombeaji wa kiti Cha udiwani mbona kauawa ? Masikini mtoto alikua bado mdogo lakini mkamkomaza kwa kifo.

Hahahaha, huko kote siko nilikouliza, Mimi nimeuliza kuhusu huyu mbunge toka "Rift valley" abayesema kwamba hii katiba ya Kenya kwamba inakandamiza demokrasia, inaonekana ana matatizo ya akili, kwasababu katiba ya Kenya ni " best" in Africa, vipi tena iwe inakandamiza demokrasia?
 
Tunasema sio? Tafuta hobby nyingine jombaa. Huna moral authority yeyote kama mtz ya kuponda katiba au demokrasi ya Kenya. Hivyo ni vitu ambavyo vikitajwa pamoja na Tz kwenye sentensi moja huwa vinaandamana na maneno kama kukiuka kukandamiza, kunajisi, kuminya n.k, n.k.
 
Kiswahili gani hicho? Tafadhali Sana, usifanabishe na cha Kabuki. Tuwewawazi kabudi anakifahamu
 
Kwhyo unamskiza mbunge anavyosema au unaifuata katiba inavyosema..

Labda wewe na huyo mbunge mtupe hicho kifungu ambacho kinaminya demokrasia
Aliyesema katiba ni nzuri sio katiba ila ni wakenya ndio waliosema kwamba katiba ni " the best", tunashangaa wakenya hao hao ndio wanasema sio nzuri inakandamiza Demokrasia.
 
Tunasema sio? Tafuta hobby nyingine jombaa. Huna moral authority yeyote kama mtz ya kuponda katiba au demokrasi ya Kenya. Hivyo ni vitu ambavyo vikitajwa pamoja na Tz kwenye sentensi moja huwa vinaandamana na maneno kama kukiuka kukandamiza, kunajisi, kuminya n.k, n.k.
Acha kupanic kaka, wakenya wenzako, tena wabunge waliochaguliwa na wakenya, wao wanalosema linawakilisha watu wengi, ndio wanaosema katiba sio nzuri inakandamiza demokrasia, acha kunishambulia Mimi.
 
Aliyesema katiba ni nzuri sio katiba ila ni wakenya ndio waliosema kwamba katiba ni " the best", tunashangaa wakenya hao hao ndio wanasema sio nzuri inakandamiza Demokrasia.
leo mbunge wa rift valley kawa wakenya..
Endelea kuwasikiza wanasiasa tu, ndio manake hko kwenu hata wakiwatia shimoni jamaa hawakemei..ni mwendo wa ndio mkuu
 
Sasa kati ya mbunge ansyewakilisha watu wengi na wewe unayewakilisha "kende" zako, nani akisema anapaswa kupewa uzito?, kwani waliosema katiba ni nzuri ni wakenya wote?, walikuwa ni watu mmoja mmoja kama huyu mbunge.
 
Mbna una ruka ruka jomba, labda hko kwenu ndio akili zenu zimeshikiliwa na viongozi...
Eti mbunge ananiwakilisha mm, yani akili zangu mm nizichukue anitunzie mbunge km vile mlivyompa makonda akili zenu
 
Ndio sababu ukabila hautoisha kwenu, sasa maana ya Mbunge ni nini kama sio kuwakilisha wananchi waliomchagua?.
 
Tatizo bi moja kwamba haitambui kiongozi wa upinzani, yule amekua namba two after president anakua raia wa kawaida na ndio maana Raila odinga analia hakutambuliwa kile kipindi Cha Kwanza Cha uongozi wa Uhuru aliposhindwa 2017 akamua kufanya handshake na Uhuru,huyo dawa yake ni moja tu Bora umpe red carpet na gari kubwa basi anarizika.
Hahahaha, huko kote siko nilikouliza, Mimi nimeuliza kuhusu huyu mbunge toka "Rift valley" abayesema kwamba hii katiba ya Kenya kwamba inakandamiza demokrasia, inaonekana ana matatizo ya akili, kwasababu katiba ya Kenya ni " best" in Africa, vipi tena iwe inakandamiza demokrasia?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mtoto hakustahili kifo alikua bado mdogo mno pia yeye alikua anajaribu tu kutafuta maisha.

Back
Top Bottom