Mbunge wa Karagwe, Blandes Kauku ajitoa kwenye kinyanganyiro cha Ubunge

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Sintofahamu Karagwe;

Taarifa nilizopata hivi punde kutoka Karagwe ni kuwa mbunge wa sasa Mh. Gosbert Blandes amejitoa katika kinyanganyiro cha ubunge CCM,muda mchache baada ya kujitoa Mgombea
na mwenzake kwa jina la Karim Amir naye kajitoa, mpaka sasa hali si shwari maeneo kadhaa huko Karagwe.

Habari ya asubuhi wanajamvi,

Habari zilizopokelewa sasa hivi ni kwamba CCM jimbo la Karagwe limewaengua. wagombea ubunge jimboni humo kwa tiketi ya chama hicho aliyekuwa mbunge wa jimbo Gosbert Blandes na mjumbe wa nec aitwaye Kareem.

Sababu ni malumbano kati yao yaliyoonekana kupelekea makundi ndani ya chama.Chanzo Radio Karagwe.

My take:Tuwaache wafu wawazike wafu wenzao.
 
Huyo jamaa uchaguzi wa 2010 alibaki anahema kama kifaranga aliyekoswa na mwewe, yaani ilikuwa ni chupuchupu, hstamsahau masawe alivyomwokoa. Mamaee, amenusa harufu ya kipogo kutoka UKAWA, eh!
 
ni kheri amesoma harama za nyakati. ata katagira ameamua kusurrender. krgwe ni kimbungs ata magufuri alivunja nyumba za watu kwa ubabe laxma wambomoe nae
 
Sababu za hao wagombea kujitoa nini ilihali walichukua fomu za kugombea. tupe habari kamili. au kuna hujuma wanachezeana maana magamba kwa kuchezeana rafu ni jambo la kawaida tu kwao.
 
Nimeona video yao hao jamaa wakitangaza kujitoa nafkri wamepata Mlungula sababu karimu asingejitoa kirahisi hivyo coz toka 2010 alijuwa na battle na huyo Blandina,,, nafkri kuna jamAA KAWAPITISHIA MZIGO COZ THEY R ALL AFTER MONEY,nilitaka kutupia hiyo video but i cudnt 😭
 
Back
Top Bottom