Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,248
- 7,871
Agree totally with you. Ndiyo maana hata ile issue ya vyeti FAKE nimekuwa naiona haikuwa well handled.Mi nakwambia maofisi yetu haya mengi ukiacha yale ya watu wa medical environment na engineers wanaotumia mihesabu migumu, au watu wa actuarial science basi kazi nyingi zinafanyika tu tena kwa training ya muda mfupi tu!
Mi huwa nawakubali sana wazungu, yeye anapotaka kukupa kazi anakuuliza tu utaiweza ukimjibu ndio anakupa hints tunatakiwa kufanya hivi na vile tu kama ni taarifa basi utakusanya hizi na zile ukipata changamoto utaniuliza! Kisha anakusainisha contract unaanza kazi hamna mambo ya CV sijui vyeti na kusumbuana!
Na anakulipa vizuri mno on hourly basis kuliko hawa wakirtimba wenzetu weusi ngozi ya ma..pu..mbu akunyanyase na interview zisizo na idadi yani kisha akupe mkataba wa kinyonyaji akufuje tu na mikwara mingi!