Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

Huyu ni comedian tu na anataka siku zote kuwadharau waliosoma kwa vile yeye ni Darasa la 7. Bado watu hawajasahau namna alivyofanya uharamia wa biashara ndani ya Lake Victoria. Amebeba Sana magendo, amekwepa sana Kodi, ameua sana maafisa wa Serikali.

Na mara ya mwisho kwenye miaka ya mwanzo mwa 2000 alihusika kuwamwagia watumishi wa TRA tindikali. Kisha alipokuwa wanted akakimbilia Zimbabwe.

Kishimba hata madawa ya kulevya ameuaza Sana kwa kubeba kwenye magari yake kati ya SA, Zimbabwe na Tanzania.

Asidharau elimu kwa vile ametajirika kwa njia OVU
Wewe wewe kafanya magendo- wewe umefanya nini?
 
Hii kitu alikua anaifanya dkt Richard masika akiwa mkuu wa chuo pale ATC.

Vijana wa mwaka wa mwisho walikua wanaenda interview mara kwa mara hata chuo hawajamaliza.

Wakimaliza tu,
wananyakuliwa juu kwa juu.

ALIKUJA KUONDOLEWA PALE KIHUNI SANA kwa KUTOFAUTIANA MTIZAMO NA JIWE
 
Nilicheka Sana aliposema wanaosomea taaluma km ya udaktari ni Sawa Tu wakisoma chuo miaka mitatu maana anachokisomea anafanya practical kwenye hospitali,Hilo wwnanchi hatuna tatizo nalo,sasa wenzangu na mie mfano mtu anasomea procurement sijui wenyewe mnaita manunuzi unasomaje chuo miaka mitatu..unanunua nn miaka yote hiyo km siyo kupoteza muda tu..yaani unasomaje miaka mitatu manunuzi alafu unarudi nyumbani unamwambia mzazi nimesomea manunuzi Nani sasa atakuajiri kwenye Duka,miezi name inatosha degree

Huyu Mwamba na msukuma wananifurahisha sn
 
Ninachomwelewa huyu mzee kwenye masuala ya elimu anazungumzia wale wananchi wa kipato cha Chini kabisa ambao ni wengi,sasa akiongea watu wanacheka wanamuona comedian!!
 
Ukiwa na mbunge msomi lazima aongee kisomi na ukiwa na mbunge kanjanja Ni lazima aongee kiukanjanja,dunia nzima upo utaratibu wa kusoma elimu ya juu,sio miezi 8 urudi nyumbani,huyu mzee upeo wake upo hivo.
 
Nilicheka Sana aliposema wanaosomea taaluma km ya udaktari ni Sawa Tu wakisoma chuo miaka mitatu maana anachokisomea anafanya practical kwenye hospitali,Hilo wwnanchi hatuna tatizo nalo,sasa wenzangu na mie mfano mtu anasomea procurement sijui wenyewe mnaita manunuzi unasomaje chuo miaka mitatu..unanunua nn miaka yote hiyo km siyo kupoteza muda tu..yaani unasomaje miaka mitatu manunuzi alafu unarudi nyumbani unamwambia mzazi nimesomea manunuzi Nani sasa atakuajiri kwenye Duka,miezi name inatosha degree

Huyu Mwamba na msukuma wananifurahisha sn
Yupo sawa kabisa, hiyo miezi nane wafundishwe practical tu peke yake warudi nyumbani wafanye kazi sasa zile theory huwa hazina maana kabisa zaidi ya kupoteza muda na kuajili walimu wengi chuo wasio na msaada wala tija kwa mwanachuo na ndio hao walimu wanatusumbua kulazimisha ulaji tu, imagine mtu anasoma marketing miaka mitatu ya nini? Wakati masomo ni yale yale hata mtu anayesoma certificate.
 
Nilicheka Sana aliposema wanaosomea taaluma km ya udaktari ni Sawa Tu wakisoma chuo miaka mitatu maana anachokisomea anafanya practical kwenye hospitali,Hilo wwnanchi hatuna tatizo nalo,sasa wenzangu na mie mfano mtu anasomea procurement sijui wenyewe mnaita manunuzi unasomaje chuo miaka mitatu..unanunua nn miaka yote hiyo km siyo kupoteza muda tu..yaani unasomaje miaka mitatu manunuzi alafu unarudi nyumbani unamwambia mzazi nimesomea manunuzi Nani sasa atakuajiri kwenye Duka,miezi name inatosha degree

Huyu Mwamba na msukuma wananifurahisha sn
High thinking capacity huyu jamaa na shule ajaenda

Ndio maana wasioenda shule uwa wanakuwa matajiri huku walioenda shule wanabaki kukimbizana na vibarua
 
Sure ana hoja sn, elimu yetu haina maana yoyote, afisa utumishi anasoma miaka 3 kuja kupandisha watu madaraja, ruhusa, likozo na barua za kustaafu kazi ambayo hata mlinzi ukimuelekeza ataifanya kwa ufanisi sn. Over
Secretary anaweza kuifanya kwa usahihi kuliko mtu mwenye degree ni semina ya wiki tu secretary ana perform kazi za HR zote basi tu nikutojiongeza, hizo course zitolewe muda mfupi then kuwe na semina au training za mara kwa mara kwa watu waliosomea course hizo kwenda kupata ujuzi unakwenda na wakati maana vitu vinabadilika kuingia digital mara kwa mara sasa hiyo miaka mitatu inakwamisha hata watu kutamani skills mpya zinazokwenda na wakati, wazee wetu walisoma miaka Mingi maana ilikuwa enzi za kubeba mafaili na kuzunguka nayo kila mkoa ila Sasa au enzi za kutuma barua kwa njia ya posta sasa Leo tupo mfumo uliorahisishwa ni hela tu unafanya mambo makubwa kwa vitendea kazi vya kidigital, sasa mtu mwingi uwekwezwe kwenye kutafuta hela na siyo kukaa shule.
 
Huyu dingi nae inaelekea kichwani hamnazo... Vyuo viwatafutie wanafunzi ajira kwani ni kazi yao hiyo? Inawahusu nini.
 
Sure ana hoja sn, elimu yetu haina maana yoyote, afisa utumishi anasoma miaka 3 kuja kupandisha watu madaraja, ruhusa, likozo na barua za kustaafu kazi ambayo hata mlinzi ukimuelekeza ataifanya kwa ufanisi sn. Over
Eti Mpaka.Rais anaingilia Kati!!?
 
Ukiwa na mbunge msomi lazima aongee kisomi na ukiwa na mbunge kanjanja Ni lazima aongee kiukanjanja,dunia nzima upo utaratibu wa kusoma elimu ya juu,sio miezi 8 urudi nyumbani,huyu mzee upeo wake upo hivo.
Huyo mzee ana exposure kubwa mno mwaka 2000 Stellenbosch UN chuo bora Afrika kilikua na course nyingi za watu waende kufanya kazi moja kwa moja ingawaje mfumo wa degree upo pale pale hiyo course ya miezi sita tuu ukimaliza unagombaniwa na makampuni kibao mpaka unashangaa wakati una degree ya Tanzania ni Kama garasha tuu...walikua wanatoa certificate za safety kwa level ukipiga hiyo level moja tuu ni kazini na hicho chuo kinashinda mtaani kujua uhitaji wa soko mpaka kesho ndio maisha yao na SA serikali yao wakaamua kuanzisha vyuo vya mfumo huo vingi Nchi nzima Tecnkon ila walianzia Pretoria kama sample..
 
Back
Top Bottom