Mbunge wa Kahama Mjini aishauri Serikali ifute tozo ya maiti katika chumba cha kuhifadhia maiti

Unaposema ni kinyume na mila na desturi zetu unamaanisha nini?

Suluhu ni serikali kuhakikisha kila mtanzania anapata bima ya afya not otherwise.

Wakiruhusu kutoa maiti kabla ya malipo nani atalipia gharama?
Na hospitali ikiachiwa maiti wanamzika wenyewe kwa gharama kubwa!
 
Nimeona ile video, ni kweli Mhe kawawakilisha wananchi vizuri sana. Wakubwa na wanasiasa hawalioni hili kwa sababu wao gharama hizi hulipiwa tena hata bila wao kujua. That's why wanajiona hawahusiki
 
Back
Top Bottom