cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,768
- 73,435
"CHADEMA wekeni STRATEGIES (mikakati) MPYA ili kuwa-ATTRACT WANACHAMA (waliopo na wapya)" ..... Kaushauri muafaka ... but sidhani kama katapewa uzito katika nyakati hizi za SINGO MPYA inayo-hit isemayo KUNUNULIWA WAPINZANI ... ninapita nitarudi baadae
Hao ndo MAKAMANDA wenyewe ... Cream safi .... mie sina neno nafunga mdomoHili tumeling'amua: Wote wanakimbia kumuunga mkona Magu baada ya kutishwa sana! Wengine wana biashara zisizo halali wanafuatiliwa na system wanaambiwa pona yao ni kurudi ccm. Angalia Albert Msando, Wema Sepetu na wengineo. Mwishoni itakuwa wote wale wachafu lazima warudi kwenye jalala la uchafu. Kwa sababu mwenye jalala ni ndiye aliyeiba kura akawepo juu!
CHADEMA msifadhaika hii inaitwa ubatizo wa moto!! dhahabu itabaki safi na ikishatakaswa kwa moto hakuna yeyote atakayeiweza! trust me watakuja wale wasafi waliokuwa jalalani bahati mbaya!! Nguvu ya umma itakuwa kubwa ajabu SUBIRINI!!! leteni operation MAGUFSADI- Kukomesha wizi wa kodi zetu kwa ajili ya kurudisha uchafu jalalani!!
Hivi katika hao WAHAMAJI si Nyalandu pia yumo ama mie niko nyuma ya PAZIA ... na mbona nae haitwi MSALITI kwa walompigia kula kule jimboni kwake? au kwa kuwa kavaa GWANDA ....
Yaani KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHALISHA ....
Maji yamefika shingoniHaiingii akilini eti naunga mkono kutetea rasilimali zetu kwa kujivua ubunge. Huu ndio ufala tunaoambiwa siku zote na Mkapa. Yaani unarudi kwenye kundi letu , huku kusiko na na mahali pa kutunga sheria za kulinda rasilimali, ukakae kijiweni kulinda rasilimali? Only fool can comprehend that. Yaani unatoka huko kwenye kulinda rasilimali unajiunga na sisi tuliokutuma kwa sababu hatuwezi kwenda huko wote unatudanganya eti sasa ndio unallinda are you serious? Yaani mlinzi wa nyumba kupewa master bedroom alale ni jambo linaingia kichwani kwamba ndo anafanya kazi ya ulinzi? Is i it a joke or what?
Ukenge kama huu haipo mahali popote dunani zaidi ya TZ. Hivi mbona hao wa CCM wasiachie nyadhifa zao kuunnga mkono kwa kulinda rasilimali?
Hayo ndio mafanikio yako binafsi au ya chama chako au CCM? Je yale mengine tulikutuma ukayasemee tayari? Tuko maskini, je hili utatoka tena CCM uende CHAUMA au NASA? Kweli Moleli huna akili hata chembe, ulitudanganya wewe ni Dokta kumbe kumbe afadhali mimi wa darasa la saba.
Basi tambua kwamba huko uendako wanamwuliza ziko wapi bambadier zetu, iko wapi meli ya samaki wetu wa Kichina, iko wapi meli yetu ya Bagamoyo? Hizi sii rasilimali?
Utajadiliwa na wenye chama kisha kupewa MAONYO na kuambiwa UMENUNULIWA ksha kupewa majina kama MSALITI wa UPINZANIHivi kwani ni makosa kuunga mkono jitihada chanya za chama tawala ukiwa chama pinzani?
Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
Wote wamebatizwa kwa moto tayari ni wasafi kama dhahabu! tafuteni makinikia muchukue kama kawaida yenu kuepuka dhahabu na kukimbilia uchafu wa dhahabu!!Hao ndo MAKAMANDA wenyewe ... Cream safi .... mie sina neno nafunga mdomo
Hizo sio sababu za Mburukenge kama hizi kuasi chama.. bado unabaki kuwa ni usaliti na maslahi binafsi
Naomba msaada wadau wametumia vigezo vipi kwenye huo utafiti wao?na sampling wamechukua watu wa aina gani?wasomi,waliojiari au vibarua wanaofanya kaz bila mikataba?WASIOKUWA NA AJIRA WAPUNGUA: Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS imesema idadi ya watu wasiokuwa na ajira hapa nchini inapungua mwaka hadi mwaka huku ukuaji wa uchumi ukibakia kukua kwa asilimia saba kwa kipindi kirefu.
NBS imeeleza hayo jijini Dar es salaam mbele ya waandishi wa habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na ofisi hiyo pamoja na tume ya mipango iliyokutanisha wadau mbalimbali wanaozalisha na kutumia Takwimu kubwa ili kujadili namna ya kupata takwimu bora katika kutathimini mpango wa maendeleo wa Taifa wa muda wa miaka mitano.
Naanza kwa ku-declare: SIUNGI MKONO GHARAMA ZITUMIKAZO KATIKA CHAGUZI ZA MARUDIO though sipingani na KATIBA ....Kujiuzuru ubunge kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi za kulinda rasilimali za taifa huku ukisababisha matumizi makubwa ya rasilimali fedha kwenye uchaguzi wa nafasi unayoiacha wazi ni ukichaa first class....
Fedha zinazopotea kwa ajili ya uchaguzi unaosababishwa na uamuzi wako ni rasilimali inayopotea bure kwa sababu yako wewe mpambanaji wa kulinda rasilimali.
Sasa unajipambanua vipi kuwa wewe unaunga mkono ulinzi wa rasilimali huku hapohapo ukiruhusu matumizi yasiyo ya lazima ya walipa kodi maskiini wa taifa lako.
Wote waliojiuzuru nafasi zao na kusababisha chaguzi kwenye nafasi walizokuwa nazo kwa kigezo cha kuunga mkono kazi inayoitwa "iliyotukuka" au kuunga mkono kupambana na ufisadi na/au rushwa na kulinda rasolimali za nchi ni vichaa....Ni kama vile mtu anayechimba shimo ili apate udongo wa kufukia shimo lingine kwa sababu ya kutuambia yeye hapendi mashimo.Si uchizi??