Mbunge wa jimbo la Mbozi, Pasco Haonga: CCM imetenga fedha kununua viongozi wa upinzani

Wewe mwenyewe unavyojiona hapo ni mzima?! Kwani tunavyosema CCM mafisadi reference yetu ni nini kama sio individual leaders wanaotokana na CCM?!

Na hoja ya msingi ni kwamba: Kama wananunuliwa na CCM wangeshindwa nini kununuliwa na wafanyabiashara baada ya kupewa nchi kuongoza?

Hawa wabunge mnaosema wananunuliwa na CCM wangekuwa ndio possible ministers!

Sasa kama leo wananunuliwa na akina Polepole; wangekuwa mawaziri si wangekuwa wateja wa akina Acacia? So, wana tofauti gani na mifisadi ya CCM?!
Ufisadi wa ccm ni wa kimfumo kijana, ufisadi wa ccm siyo wa mtu moja moja bali ni mfumo wa kifisadi unaoratibiwa na jumuia zote za chama.
 
Utapaka sana rangi lakini ufisadi ni ufisadi tu! In short, hamna tofauti... CCM ni fisadi lililo jikoni huku CHADEMA nayo ikiwa na watu wanaosubiri iingie jikoni ili na wenyewe waibe vizuri
 
Wewe mwenyewe unavyojiona hapo ni mzima?! Kwani tunavyosema CCM mafisadi reference yetu ni nini kama sio individual leaders wanaotokana na CCM?!

Na hoja ya msingi ni kwamba: Kama wananunuliwa na CCM wangeshindwa nini kununuliwa na wafanyabiashara baada ya kupewa nchi kuongoza?

Hawa wabunge mnaosema wananunuliwa na CCM wangekuwa ndio possible ministers!

Sasa kama leo wananunuliwa na akina Polepole; wangekuwa mawaziri si wangekuwa wateja wa akina Acacia? So, wana tofauti gani na mifisadi ya CCM?!
Si kweli kuwa UFISADI wa CCM ulikuwa au umekuwa ukifanywa na individuals, la hasha. CCM yenyewe tu kama taasisi imejijengea mfumo wa kifisadi kwa muda mrefu. Na hapa nitakupa tu mfano wa Kampuni moja iliyoanzishwa chini ya mwamvuli wa CCM, ikakwapua fedha kisha kuzikwa kaburini: Deep Green.
Mfumo wa CCM WA UFISADI ndio ulioitumia serikali kama kiwanda cha kufisidi, hivyo kuwaharibu watumishi wa serikali kwa ujumla wao.
 
Kwa heshima ya wapenda mabadiliko; ngoja niache kubishana na wewe manake nitakuwa nawavua nguo wataka mabadiliko lakini si lazima mtu awe na shahada ya political science kufahamu hata mwenyekiti mwenyewe ni doubtful!
 
Back
Top Bottom