Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?
Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako
Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'
Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.