Mbunge wa Igalula agawa rushwa ya 20,000 kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya

carrera

Member
Mar 14, 2017
34
33
Mbunge wa Igalula Musa Ntimizi atoa rushwa ya tsh 20,000 kwa kila mjumbe baada ya kukosa watu katika kwenye mikutano yake.Mbunge huyu ameikimbia mikutano ya hadhara aliyokuwa anaifanya kata ya Goweko na Nsololo baada ya kushindwa kujibu maswal ya wananchi wachache waliohudhuria,wananchi hao walitaka kujua kwanini amewatekeleza kwa miaka mitano na kwanini arudi wakati huu wa uchaguzi na kuwadanganya kwa ahadi za uongo.

Mbunge huyu anamtumia mwenezi wa wilaya ya Uyui ndugu Habibu Sungwa kugawa fedha kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo ili wamchague kwa kura za huruma.

Taarifa kutoka chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu na Mbunge huyo zinadai kuwa amekata tamaa anasubiri miujiza tu kwasababu Wananchi wamepanga kumwangusha ili akafanye kazi nyingine.

Takukuru wilaya ya Uyui na mkoa wa Tabora wanapaswa kumfuatilia mbunge pamoja na wapambe wake akiwemo Mwenezi wa Wilaya ya Uyui kwasababu wanadai hakuna wa kuwafanya kitu chochote.
Screenshot_20200629-224626.jpg
IMG-20200629-WA0049.jpg
 
sio Ntimizi tu...wabunge wote wa ccm wanakwenda kudondokea pua October 2020..wanasubiria kutangazwa kwa nguvu ya dola tu...yaani katika kipindi ambacho wagombea nafas ya ubunge na urais wanakwenda kujizolea kura za bwelele tena kutoka kwa wana ccm ni uchaguzi huu... acha akina bia yangu..mama ntilie wa kawe.. mgonjwa mtambuka.. yehova..kipara kipya.. Rutashobya.. stroke na wengine wengi waendelee kujidanganya eti upinzani hatuna chetu, bc watashangaa na masikio yao...ni mwaka wa mavuno manono..mtatupa kura mtake msitake.... povu ruksa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom