#COVID19 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

Mpaka jiwe amalize muda wake basi tutashuhudia mengi ya ajabu na ya kitoto kama haya.
Kama watu wana namna hii eti wameweza kuwa viongozi basi na mm naamini ipo siku nitakuwa rais.
Kwahiyo na wewe uko Kama wao maana hela umejilinganisha nao na umegundua hata wewe unaweza kuwa kiongozi Kama wao.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom