Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988

Hicho chuo ni confrimed fake na kazi yake ni kuuzia watu sampuli ya Msukuma fake honorary degrees

Rejea hizi links.

Hicho chuo ni confrimed fake na kazi yake ni kuuzia watu sampuli ya Msukuma fake honorary degrees

Rejea hizi links.

Mmeanza
 
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
ANAANDIKA BABA ASKOFU BAGONZA

😂😂😂😂😂😂
Sasa nimejua. Siku za karibuni Kuna mtu aliniita kutokea Arusha akaniambia jina langu limependekezwa ili nipewe udaktari wa heshima kwa sababu (akataja nyingi). Kisha akasema zinatakiwa dola 500 haraka sana na deadline ni siku ya pili yake. Akataja chuo hikihiki.

Nikamwambia hiyo hela Sina. Akasema basi leta dola 210 kwa punguzo maalum.

Nikamwambia kwa Sasa Kuna vyuo vikuu 3 humu duniani vinaniomba nipokee udaktari wa heshima kutoka kwao lakini itaambatana na cheki ya dola elfu kumi kwangu. Nikamwambia bado nasita kwa sababu walizonitajia kuwa ninazo bado nina mashaka nazo kama ninazo kweli. Tukaachana hivo.

Kumbe wakapatikana kina Msukuma?!
 
Nawewe ongeza elimu Acha kubweteka. Muda unaokaa hapa JF unafaa kuongeza elimu. Sisi tushafika no class ahead
Hiyo elimu imetusiadia nini watanzania na zile covidol zako za Madagascar mnafiki wewe..mchumia tumbo..sina haja na elimu ya tz ya kinafiki..bora niendelee kusaka pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Wabongo bhana, hawaelewi hata umhimu wa elimu.

Kama kipimo cha elimu ni kufanikiwa(kuwa na pesa) katika maisha.

kama wazazi wanavyotarajia pindi wanapowapeleka watoto wao shule basi msukuma anastahili phd.

Tuacheni janja janja elimu ni mafanikio katika maisha sio zaidi(kukalili vitini kama flan)
 
Back
Top Bottom