Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

hahahahahahahaha!!!!!! safi sana natamani ningekua Geita,ningemkimbiza mpaka nimkamate.Nyambafu kabisa.

Geita Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees,mbunge uliyetoka nduki sema Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.Kimandolu wewe.
 
Pale geita hospital kuna kipindi wagonjwa wa kisukari wakienda clinic wanarudishwa bila kupima sukari kwa sbb strips zimeisha yeye yuko bize ku- slim ili afanane Dini na Jk. Huyu jamaa sijui alipataje ujasiri wa kugombea ubunge? Historia yake mimi naijua kuanzia pale alipokuwa corpcort anaiba wakulima wa Pamba,sijui shetani gani aliwaingia wanageita kulipa hili jamaa jukumu la kuwawakilisha? MAX mwenyewe yukoje mnajua? Ni mtu wa nguruwe, pombe na malaya! Hana dira wa mwelekeo, ni kama mzuri upepo ulivuma kuelekea kwake na kikomo chake ni 2015. M4C wekeni kambi Mkoa wa Geita, majimbo yote yako wazi ona .JIMBO la nyang'hwale-KASSU darasa la nne, Jimbo la Busanda- Bukwimba- hajielewi yupoyupo tu. Jimbo la Geita- Max. MWIZI.


Ayaa! kumbe ndio hili dubwana, huyu jamaa hafai kabisa, kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda chake, alikuwa anaongoza kwa kunyanyasa wafanyakazi na kulipa malipo duni, nashangaa ilikuwaje mpaka akapata huo ubunge.
 
Akome maana wananchi sasa hawataki kusikia usanii wa viongozi wababaishaji wa magamba, sasa kilichobaki ni Tafakari Chukua Hatua

M4C
 
gamba mkuu CCM

Anaitwa Donald Max Wa CCM ndugu yake alihusika kwenye kesi ya madawa ya kulevya walikuwa wameingiza nchini mashine yakuchanganyia madawa hayo wakisingizia kuwa ni ya kiwanda cha kuchambulia pamba ambacho Max alikuwa mkurugenzi
 
Nilifikiri wapiga kura wa jimbo lote, KUMBE ni wa kijiji kimoja. Hawatutishi
 
Dawa ni kuwapa kichapo; waliokataa kusaini fomu ya Zito Kabwe wakienda majimboni kwao lazima wakutane na kipondo
 
Nilifikiri wapiga kura wa jimbo lote, KUMBE ni wa kijiji kimoja. Hawatutishi

nasikia siku hizi hataki hata kuitwa muheshimiwa, hata bungeni kipindi cha juzi hakwenda kabisaa...ukimuita anatukana alichakachuwa kura kwa nguvu ya rostam labda hufahamu kwa taarifa kipindi hicho nilikuwa geita max kautafuta ubunge kipindi kirefu 10 yrs lakini kampeni za rodgers ilikuwa ni miezi 3 tu lakini angalia tofauti ya kura

 
itv saa 2 wameripoti na kuonyesha wananchi wakifumukuza mbunge, diwani na mtendaji pale nkome kwa sababu wananchi wanasema hawa ni majambazi na hawamuhitaji. Mbunge huyu alikuwa anafanya mkutano wa hadhara na wananchi. Mkutano umevurugika na kuvunjika!!! Na mbuge akakimbilia vichochoroni kunusuru maisha yake.

angepigwa japo kidogo ili kumshikisha adabu.
 
Wabunge wa CCM waanze kufanya mazoezi ya mbio,maana huko tuendako lazima tuwakimbize sana,wale wagonjwa kama kina Komba na wengine wasikanyage majimboni kwao.
 
Back
Top Bottom