Mbunge wa Gairo, ataja sababu za ukata wa fedha mitaani

CCM wanatuchanganya sana Mara uchumi umefunguka, pesa mtaani zipo, TRA wamevunja record mara faida kwenye Bank zimeongeza.
Ukweli mtaani pesa hakuna kabisa
Kazi iendelee
Wanakauliza zao UVCCM “Alipo Mama vijana tupo “

Kauli mbaya sana kwenye ulimwengu wa Roho.
wewe ujui raisi ni mjambiani
 
Fiscal policy=Govt Spendings+Tax

Monetary policy= Money supply (Contraction+Expansion policy)+Interest rates
 
Kuongeza mishahara watumishi wa Umma hakutaongeza mzunguko sababu watumishi wa umma si walipa kodi, ni watumia kodi.
 
Shabiby Hana njaa, kashiba ila huwa hana tabia ya kuwasahau wenye njaaa.
ingekuwa mwengine ana uwezo kama alio nao shabiby wala asinge hangaika kuwasemea walio na njaa.
Pongezi nyingi sana kwa Mbunge Shabiby.
Hana kitu hapo jimbo kwake watoto wengi hawapati elimu kama huko njugwa.dunia ya leo kweli mtoto hajui kusoma sababu wazazi hawapeleki watoto shule.anaokana huko karibia na uchaguzi.huduma za elimu duni kabisa jimbo kwake.
 
Kutowapa watumishi nyongeza za mishahara huku bidhaa zinapanda kila kukicha inaonyesha jinsi mlivyo vichwa ngumu, madelu aliwahi kujikosha kwenye TV eti pesa zitamwagwa mtaani, sijui ndo zile trilioni 1.3 zinazopelekwa kujenga zahanati na madarasa ili hali tozo zilishapelekwa kwa kazi hiyo hiyo.....msidhani watanzania hawana akili ya kufikiri mambo mnapokuwa mmenogewa kwenye ma viieite yenu.​
 
Hana kitu hapo jimbo kwake watoto wengi hawapati elimu kama huko njugwa.dunia ya leo kweli mtoto hajui kusoma sababu wazazi hawapeleki watoto shule.anaokana huko karibia na uchaguzi.huduma za elimu duni kabisa jimbo kwake.
sasa hapo kosa lake ni lipi?
Serikali imetoa Elimu Bure kuanzia msingi mpaka kidato cha 4, Baadhi ya wazazi hawataki watoto wao wasome wanawaficha!!
hivyo hilo sio tatizo la Mbunge.
Hiyo changamoto inapaswa ishughulikiwe na viongozi wote wa gairo, washirikiane kuwabaini hao wazazi wanao ficha watoto wasisome, na hilo sio suala la Gairo tu bali lipo ktk kila mahali ktk nchi hii.
Hivyo yatupasa sote tushirikiane kuwafichua.
 
Wizara ya fedha inahitaji waziri mwenye akili na mbunifu,sio anaejifanya anaakili.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom