Mbunge wa CUF Mama Mwatuka pokea pongezi zangu!

Piganieni kutengeneza uwezo kwa kila mwananchi kusomesha mtoto wake, siyo kugeuka wafadhili ok?

Haya mambo ya kutoa ufadhili ni kuendekeza tabia inayokua sana hapa nchini ya kuomba msaada kwa kila jambo ok?

Hongera kwa moyo wako wa upendo lakini tupiganie zaidi kuwezesha watu na si kuwapa misaada
Kwa kuwasomesha watoto hao, anawawezesha kuja kuwa wazazi wenye uwezo wa kuwasomesha watakaokuwa watoto wao.
 
Thats good but iwe fedha halali na siyo iliyochotwa sehemu batili, she deserve congratulation. Well done
 
tsh 185 000 000 000 za DOWANS gawa kwa sh 20 000 kila mtoto zingesomesha wanafunzi 9250000 ambapo nadhani wote wa sekondari form 1-6
 
Sasa ameonyesha tofauti yake,kabla alikuwa hana kitu,amejaaliwa kuukwaa ubunge japo wa kuteuliwa ,ameweza na ndio hio tofauti na akina Slaa ,sidhani kama Slaa amewea kumgaia mtu japo shilingi ,ingawa aliitetea hoja ya kutaka kupunguziwa mishahara kwa wabunge,angefanya kama huyu basi ingekuwa asavali.

hofu yangu ni kuwa badala ya kumuwezesha mwanadamu ajimudu kna kukabili maisha yake, wanaanza kumfuga kama mifugo ili kujipatia mtaji wa kisiasa. very sad, but hata biblia imesema kuwa heri wenye huruma maana hao watahurumiwa (mt 5:7) kama mama huyu anasukumwa na huruma, amepata heri kwa Mungu na namtia moyo asonge mele ila kama nia ni kujipatia mtaji wa kisiasa kwa mbegu za wanadamu, ole wake kwani hukumu ya Mungu inamkalia
 
Back
Top Bottom