Mbunge wa CUF Magdalena Sakaya na viongozi waandamizi wa CUF wanyimwa dhamana mara ya pili

Kusema kweli inasikitisha. kama haya ndiyo matokeo ya semina elekezi aliyohudhulia Jugde mkuu Mh. Chande Othman basi nchi inakwenda alijojo (kubaya).

CDM ili kujipambanua na CUF, Dovutwa etc naomba mfanye kila linalowezakana ili Mh. Sakaya atoke rumande akahudhulie vikao vya bunge hata kwa kutumia nguvu ya umma. Tundu Lissu please, you're the future Minister for Justice do what it can take kumtoa Mh. Sakaya rumande. Watanzania tuko nyuma yako.

Hivi Tabora katika budget ya TAMISEMI imepangia Tsh ngapi? maana mikoa yote ambayo in stunch CCM suppoters kama Lindi imepewa budget kidogo ili wananchi wake waendelea kuwa ma-mbumbu ili CCM iendelee kuwatawala. Wana-Tabora CCM na ma-mumiani amukeni, Kalaghabaho!
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Samahani wakuu naomba kujua hao kesi yao ni nini hasa! Wameuwa Kiongozi wa Dunia au?????????????? maana hata rais wetu angekuwa ameuliwa labda dhamana yao ingeikaribia hio sasa sijui kwakweli hii nchi na mstakabi wake unaelekea wapi?????

nadhani wananchi wa Tanzania wanayo haki ya kupinga huu unyanyasaji wa kipuuzi unaofanywa na hii serikali yetu hapa ni NGUVU YA UMMA TUUUUUU..... tutaanza kubisha hodi Misri, Tunisia, Libya muda sio mrefu. Hii Nchi jahazi lake limeanza kuzama watu waanza kujiokoa mapema.

KWAPAMOJA TUUNGANE TUSHIRIKIANE TUTAWEZA BILA KUJALI ITIKADI ZETU KAMA NI CDM AMA CUF AU TLP NA UDP vyama vyote vya upinzani vionyeshe mshkamano wa KWELI sio wakizandiki watawezo kukomesha huu unyanyasaji tunaofanyiwa, halafu tunajiita ni Nchi ya AMANI wakati AMANI ILISHAKUFA siku nyingi!!!! :disapointed::disapointed::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
 
Hivi ni kipi kilichomfanya Prof. Lipumba kwenda Central Police kutaka kumuwekea
dhamana Mbowe (wakati akijua kabisa kuwa mazingira hayaruhusu) na kuwaacha
viongozi wa chama chake cha CUF (akiwemo Sakaya) wanaosota huko Tabora?
Is this a joke? Au ni unafiki?
TOLET.wao walifikili NGUVU YA UMA NI MCHEZO.
Hii inaitwa IGA UFE.sasa wanasota
 
Hivi ni kipi kilichomfanya Prof. Lipumba kwenda Central Police kutaka kumuwekea
dhamana Mbowe (wakati akijua kabisa kuwa mazingira hayaruhusu) na kuwaacha
viongozi wa chama chake cha CUF (akiwemo Sakaya) wanaosota huko Tabora?
Is this a joke? Au ni unafiki?

Kujipendekeza tu,si alijua PP inafanya kazi,pamoja na kejeli zote walizotoa kwa cdm ona sasa matokeo yake,CCM ni wakatili hawana urafiki na nyie.
 
:A S 100:Hali hii inazua maswali mengi, ni kwa nn mbunge wa cuf wakati ccm na cuf wameungana? Au wameungana zenji tu?? Ni ajabu kuona cuf -Lipumba ansaidia kuzima moto kwa jirani wkt kwake kunateketea tena Tabora!!! Kweli hii ndiyo si-hasa!!!:majani7:

ALL EYES ON ME!!!!!:glasses-nerdy:
 
where is lipumba na maalim seif
mwenzao anakamatwa na wao wanakaa kimya sasa hivi ndio naanza kumwamini prof safari alivyosema cuf hawajaliani
jifunzeni kwa chadema
 
Hivi ni kipi kilichomfanya Prof. Lipumba kwenda Central Police kutaka kumuwekea
dhamana Mbowe (wakati akijua kabisa kuwa mazingira hayaruhusu) na kuwaacha
viongozi wa chama chake cha CUF (akiwemo Sakaya) wanaosota huko Tabora?
Is this a joke? Au ni unafiki?

Kujipendekeza tu,si alijua PP inafanya kazi,pamoja na kejeli zote walizotoa kwa cdm ona sasa matokeo yake,CCM ni wakatili hawana urafiki na nyie.
 
Karibuni CUF kwenye harakati za ukombozi bado hamjachelewa......:cheer2:
 
Back
Top Bottom