Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Nilikuwa siamini ila sasa sasa nimekubali wabunge wa upinzani ni makopo matupu kichwani kwa haya mawili tu ya karibuni.Huyo ni Mbunge wa CUF na sio CCM mode rekebisha tafadhali
Ameulizia msibani? Au wewe ndo hazikutoshi?Nilikuwa siamini ila sasa sasa nimekubali wabunge wa upinzani ni makopo matupu kichwani kwa haya mawili tu ya karibuni.
1)Huyu mbunge ameingiza mada ya 'bunge live' mahali ambapo sio pake
2) Bw. Mbowe kuulizia mahali alipo Abdulrahman Kinana
Sijui kama ni ulevi au kitu gani kimewachanganya namna hii hawa watu
Kuna siku mtu atakula matusi live live twita toka kwa mwenye twita. watu wabishi kama sie hatutakiwi kum-follow
Yaani ni pamoja na wewe.Hao wawili wanawakilisha watu wote wa aina yakoAmeulizia msibani? Au wewe ndo hazikutoshi?
Kwa madudu wanayoyafanya/wanayojadili wabunge.
mimi tangu lilipotoka agizo la bunge kutokua live niliafiki.