Mbunge wa chadema iringa mjini atishiwa na mbunge viti maalum chadema(chiku abwao)

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Ari ya kisiasa si shwari katika mji wa iringa ni baada ya maamuzi ya cc ya chadema kumvua uenyekiti wa chadema mkoa Mh.chiku abwao kutokana na hoja iliyoletwa na Mh.peter msigwa juu ya ukosefu wa demokrasia katika upatikanaji wa mwenyekiti huyo wa mkoa!
 
CC ipi? au iliyo kaa juzi?
 
Ari ya kisiasa si shwari katika mji wa iringa ni baada ya maamuzi ya cc ya chadema kumvua uenyekiti wa chadema mkoa Mh.chiku abwao kutokana na hoja iliyoletwa na Mh.peter msigwa juu ya ukosefu wa demokrasia katika upatikanaji wa mwenyekiti huyo wa mkoa!
Lete reliable source hapa!! Otherwise this is a ****
 
Ari ya kisiasa si shwari katika mji wa iringa ni baada ya maamuzi ya cc ya chadema kumvua uenyekiti wa chadema mkoa Mh.chiku abwao kutokana na hoja iliyoletwa na Mh.peter msigwa juu ya ukosefu wa demokrasia katika upatikanaji wa mwenyekiti huyo wa mkoa!

Haya mambo ya kukosekana kwa demokrasia kwenye kuchagua (manake kura ilipigwa) Kaimu Mwenyekiti wa Mkoa yalikuja humu ila yakaknushwa na Katibu wa CDM Mkoa wa Iringa Mr. Allen sasa tena umekuwaje kamati kuu iseme hakukuwa na demokrasia? Hiyo taarifa ya kamati kuu iko wapi?
 
CDM safari ni ndefu kuelekea kwenye demokrasia ya kweli ndani ya chama chenu
 
Tuntemeke umekuja upya kwa jina la Joseph Koni?
Lakini kama huna cha kupost afadhali usome thread za wenzako ili upate mawazo mapya!
 
Tupe source pls! Hiyo Cc imekaa lini na kuamua hilo?kama hauna cha kuandika ka kimya soma wengine wameandika nini ujifunze acha kuleta mambo ya uchonganishi
 
Ingawa binafsi naamini kabisa hili ni zengwe linaloundwa undwa kiujanja ujanja na wasiotutakia mema ndani na nje ya chama, Lakini wana CDM tunapaswa kuwaangali Chiku Abwao pamoja na yule nanii wake kwa makengeza vinginevyo watatuharibia chama mchana kweupe kama walivyo kifanya kile chama chao miaka ile ya 90s!
 
Mbona heading na content ya ujumbe wako haviendani? Nakushauri, nenda kamueleza Nepi akufundishe tena namna ya kuandika umbea. Pia, kumbuka usituletee mambo ya ngomani humu, uswahili na uzalamo wenu huko huko lumumba... Pambaf...
 
Ni ujinga mkubwa sana kwa mtu mzima kuwa mzushi tena usiyependa kujua na kuamua kuropoka mambo mhimu. Huyu jamaa aliyeleta hii thread ningemshauri awe anasoma thread za wengine itamsaidia kujuwa inchi yake angalau.
 
TUNTEMEKE nenda kalime isimani umsaidie lukuvi kurejesha eneo hilo kuwa ghala la chakula..kaka huchoki?
 
Ari ya kisiasa si shwari katika mji wa iringa ni baada ya maamuzi ya cc ya chadema kumvua uenyekiti wa chadema mkoa Mh.chiku abwao kutokana na hoja iliyoletwa na Mh.peter msigwa juu ya ukosefu wa demokrasia katika upatikanaji wa mwenyekiti huyo wa mkoa!

mbona hueleweki kichwa cha habari na ujumbe wenyewe viko tofauti. Haya katishiwa nini au ndo umeamka ukawaza umbea wa leo ukatuletea majungu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom