Mbunge wa CHADEMA aliyemilikishwa gari la chama atapaswa kulipa kodi zote pamoja na adhabu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,833
Afisa forodha mstaafu Ayoub Semkiwa amesema mbunge aliyemilikishwa gari la Chadema atapaswa kulipa kodi zote zilizosamehewa pamoja na adhabu.

Semkiwa amesema mbunge huyo ametumia ujanja tu ili kukwepa kodi na unaweza kukuta hata fedha za kununua hilo gari alizirejesha chamani kimtindo.

Semkiwa amesisitiza kuwa wajanja wengi hukwepa kodi kupitia vyama vya siasa na taasisi za kidini yakiwemo makanisa, misikiti na jumuiya zake.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
3.74B za mifuko ya hifadhi ya jamii za CCM zipo wapi

Wakati nafanya kazi Dom (back in Time)2009 alikuja mstaafu wa CCM alianzia jeshini (cheo) Luten (zama hizo) Wakati wa CHAMA kimeshika HATAMU enzi za NPF alichanganyikiwa mafao yake hayamfikii mwalimu wa bachelor aliyefika G (bar) alilia ofisini kwangu wakati mi mtu mdogo saana

Nlimuonea huruma ila haikua na namna

Pumbavu waajiriwa wa CCM fuatilieni mafao(michango) yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msumemo hukata kote kote kwa hili pia vyama vijitafakar tuliitaka ripoti ya mkaguz imekuja tuache uvyama tulipigie kelele hili kuna watu wamegeuza vyama kama SACCOS zao na ndilo linaloharibu taswira ya vyama unapopiga kelele kwa jiran hakikisha kwako kupo salama asije akasema MTU ooh eti mil147.3 ndogo wakuu wiz ni wizi tu tuweke maslah ya nchi mbele vyama baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afisa forodha mstaafu Ayoub Semkiwa amesema mbunge aliyemilikishwa gari la Chadema atapaswa kulipa kodi zote zilizosamehewa pamoja na adhabu.

Semkiwa amesema mbunge huyo ametumia ujanja tu ili kukwepa kodi na unaweza kukuta hata fedha za kununua hilo gari alizirejesha chamani kimtindo.

Semkiwa amesisitiza kuwa wajanja wengi hukwepa kodi kupitia vyama vya siasa na taasisi za kidini yakiwemo makanisa, misikiti na jumuiya zake.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuna mahali CAG amesema ni Mbunge?
Anyway, kwa cheo chake chochote alicho nacho lazima alipe kodi stahiki. Lakin pia Mhasibu wa CCM alieshindwa kupeleka NSSF makato ya Tshs 3bil nae hawezi kusalimika. Kawaida ukipita mwezi toka mwezi wa makato uishe inabidi kulipwe na riba. Hii lazima huyu nae ailipe
 
Back
Top Bottom