Mbunge wa CCM wilayani Misenyi akimbiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CCM wilayani Misenyi akimbiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.kibulala, Apr 29, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa jimbo la nkenge wilayani misenyi,Mhe.Assumpta.M.(CCM) akimbiwa ktk mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya ishozi,baada ya kushndwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hyo hasa alipotakiwa kutoa sababu za kwnn alitaka kupeleka hoja binafsi ya kuwa umeme vijijini lisiwe kipaumbele,aliposhndwa kutoa ufafanuzi huo wananchi waliondoka nakuachwa pekeyake pmoja na msafara wake.YAANI ALITIA HURUMA,kazi ni kwake
   
 2. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Habari za kupikwa hizo
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Acha waadabishwe vilaza hao, bungeni wakifika kazi ni kuisemea serikali badala ya kuisimamia!!

  Kama vipi wangemshushia kipondo tu kama yule wa Geita!!
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pika ya kwako ikiiva tutakula au kuacha. Magamba mwaka huu watakoma, kila wakifanya hivi gamba limewaelemea!!!!!!!!
   
 5. M

  Mr.kibulala Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe magamba nn?tuko kwenye eneo la tukio.ila tumewazoea
   
 6. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Safii sana, nipeni mimi jimbo muone mambo hapo bkb, wahaya tubadilike jameni.
   
 7. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Haya ni majibu kama ya yule wa jana baada ya kukoswa kipondo na kutokomea kusikojulikana alipopigiwa simu alikataa kwamba hakuwepo hapo!!

  Hivi magamba mtaendelea kudanganya hadi lini??
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baadae saa mbili usiku ITV wakitangaza hivyo hivyo still habari itakuwa ya kupikwa?
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Akirudi bungeni ataacha kuzomea wabunge wa CDM maana atakuwa ameshaonja joto ya jiwe.
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Anasubiri TBC1 wamtangazie ITV atasingizia mmiliki wake ni mtu wa Kaskazini.
   
 11. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Walipaswa wampopoe na majabali Kama ilivyokuwa kwa Nyambari Nyangwine.
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  uwewe unakujua huko misenyi au ni mpayukaji wa CCM
   
 13. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Heh; jamani dada yangu! Japo mi ni CDM lakini huyu dada asipokuwa makini na watu wa jimboni kwake atapata shida. Nakumbuka hata wakati wa Kampeini aliambiwa aongelee mambo ya kwake na asiongelee mambo ya CCM na JK, kilichomsaidia ni kwamba cdm walikuwa wamesimamisha Mwanamuziki ambaye kwa kila hali alikuwa akubaliki katika uwanja wa siasa!
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  wewe ni nani mbona hatukujui? Katangaze nia kupitia kwetu kuzuri CHADEMA
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Assumpta Mshana ni bad news through and through. Ni kinara wa kuzomea na msaliti wa walalahoi. Ukimsikiliza bungeni utawaonea huruma wapiga kura wake maana hana la maana analoongea badala ya kuremba sera mbovu za CCM. Watu wa Misenyi watafute mbunge, lakini kwa huyu mama waandike maamivu.
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  2015 nimvae nini? mimi ni mzaliwa wa huko Nkenge nimesomea huko; na ninafahamika vizuri, tatizo baba yangu ni mfuasi wa CCM - sijui niingie kwa ga ipi?
   
 17. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wananchi wanazidi kutupa raha
   
 18. S

  Sultani kambe Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its good job... Ukikatawa hadi na maskini huna chako
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nafarijika na napata raha mustarehe moyoni mwangu nnavyosikia wabunge magamba wakiambulia aibu,,huyo mama mpayukaji tu bora ilo jimbo angebaki Bw Diodorus Buberwa Kamala
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hata zikiwa za kukaangwa haina noma,hulka yenu ya kukataa mambo iko wazi hata yule MP wa Geita alikataa,hatushangai.
   
Loading...