Masele Mbunge wa CCM Shinyanga Mjini, awaambia wananchi kuwa kuna baa la njaa nchini

Uyu mzee nae yupo 2G ,iyo habari ya njaa ni mwez umepita ye ndo anakuja kushtuka leo,
 
Kwani polisi hawakuwepo? au mpaka Makonda atoe agizo? huyo mbunge katoa lugha ya uchochezi, RPC usipochukua hatua Makonda atakutumbua, maana yeye ndo mkuu wa wakuu wa Mikoa Nchi nzima.
 
Utaelewa ikikufika
Hamna njaa tz.kuna kimtikisiko.ukienda kwenye global media ukisema kuna njaa utachekwa.
Hakuna hata uhaba wa mahind but ni soko tu limerespond hali ya ukame.
Mahind yapo bwerere bcz mahind tunayotumia n ya mwaka jana na ukame ni wa mwaka huu.kuna wajanja wameficha mahind ili wanufaike na bei kupanda.
 
Huyu yupo Shinyanga then anasema kuna njaa nchini, wapi na wapi kuna njaa Shiyanga au nchini?
 
Angekuwa,ni mbunge wa Chadema,ametamka kuwa,kuna njaa,angelala lupango,na angenyimwa dhamana
 
Wabunge wanaanza kuzinduka. Akili zinarejea pole pole... Watanzania nawaombeni mkipewa madaraka mjue one day mtashuka kinachotakiwa na raia mnakifahamu ila mnajitia upofu mkishushwa na nyie ati mnalalamika. Bungeni zenu ndio chama kwanza wana nchi baadae haya.

Hii ni Babu kubwa babu kubwa babu kubwa na wewe sema Babu kubwa au sio mazee sema Babu kubwa
 
Back
Top Bottom