Masele Mbunge wa CCM Shinyanga Mjini, awaambia wananchi kuwa kuna baa la njaa nchini

Huyo ameshausoma mchezo vizuri, amegundua wananchi wake hawaitaki tena CCM na wala hawataki kumsikia tena yule mungu-mtu wa Tz.

mungu mtu anayeomba kila siku aombewe, sijui ndotoni uwaga anaota nini....au anaonaga maruweruwe !!!
 
Ikulu hakuna shamba ila kila mzee akijipundua mitaa ya dining room, anakuta meza zote zimechafuka na mamisosi ya kufa mtu. Njaa mnayokufa nayo huko Misenyi na Kakola ataijulia wapi.
 
Leo mbunge wa ccm masele alikuwa na mkutano wa hadhara mjini shinyanga amesema nchi inakabiliwa na njaa Kali sana nae anashangaa kuona serikali ipo kimya.
e6054abbeb79940be0b0399d714a4963.jpg
16f6f660a18a420cee342b4a23287977.jpg
Hakuna njaa Tz
Atumbuliwe huyu.

Chakula kipo cha kutosha sana mpaka tunasaza
 
Ukiona upande upande wa pili wameamua kusema basi Hali inazidi kuimalika ipo siku taongea lugha upinzani na Ccm ukweli uwaga aujifichi na unakawaida wa kujiludia
 
Wasukuma bhana sio waoga,mmoja anakataa mwingine anakubali,hakuna unafiki unafiki.
 
Ana gadhab za kukosa uwaziri huyu hakuna lolote.....

Acha upumbaf,
Always think positive !Kwani anasema uongo hapo?Anachosema Masele ni ukweli mtupu! Kama unafikiri hakuna njaa ngoja uskie mama yako kafa kwa NJAA NDIPO UTATIA AKILI MPUUZI MKUBWA WEWE!!!
 
Mungu Mtu Anatoswa Taratibu Tena Na Wale Wa Chama Chake Na Mahome Boys (cc Msukuma & Maselle)
 
Back
Top Bottom