Mawinyi Yeye
Member
- Apr 20, 2012
- 28
- 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale ambao hawamfahamu Pasco, Pasco anapenda sana kuonekana wa kwanza kuleta habari hapa JF, ninachomsifu mimi ni kwamba huwa hapost habari ambayo hajaithibitisha.
Kama kila member angekuwa anagoja kupata uhakika ndio anarusha thread basi kungekuwa hakuna news alert au tetesi.., hii ni news alert (you are alerted kwamba huenda kutakuwa au kutokuwepo kwa news) yaani anatoa tetesi what is happening kwenye maeneo ya Bunge watu wanasema nini..Kama kila member angekuwa anarusha thread kwa mtindo wako JF ingekufa ingejaa *****. Shiriki kutunza heshima ya JF