Mbunge wa CCM mbaroni

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Taarifa zinasema kuwa Mbunge wa Mbeya Mh. Modestus Kilufi

awekwa rumande huko mbeya
1643.jpg
 
Habari haijajitosheleza SBB YA KUWEKWA RUMANDE NI IPI? NA INGEKUA VYEMA UNGETUELEZA NA SOURCE YA HABARI HII.
 
kawekwa rumande kwa kosa gani??? ufafanuzi unahitajika mkuu
 
Ametishia kumuua afisa mtendaji wa kata huko mbalali.
TBC1 saa 2 usiku
 
Kawekwa ndani kwa kutishia kuua, chanzo Tbc1 habari saa 2 usiku huu.
 
Kwa mujibu wa maelezo ya RPC Nyombi via TBC1, ameeleza kuwa Mbunge huyo alitishia kumuua Afisa Mtendaji Kata, ikatipotiwa polisi na polisi wakachunguza na kupeleka jalada kwa Wanasheria wa Serikali ambao nao waliridhika na ushahidi wakawaagiza polisi wamkamate mbunge huyo na kumfikisha mahakamani. So polisi kumkamata ni kutekeleza order ya wanasheria wa serikali (state attorneys).
 
Afadhali ni mbunge wa CCM maana angekuwa wa chama fulani wangesema wanaonewa!
No one is above the law
 
nadhani spika atakuwa ametaarifiwa kwanza na polisi kabla ya kumkamata ili atoe kibali.
wakili gani wa serikali atapenda kupoteza kibarua chake kwa kutoa order ya kumkamata
mbunge wa CCM bila kufuata sheria zote za bunge? naamini hivo
 
Wabunge wa hiki chama bwana wananichekesha sana!!
Wanapenda sana kutishiana maisha kama yule mwenyekiti wa timu yangu aliepanda jukwaani na mguu wa kuku kiunoni.
Halafu bado wanamwaga sumu kua sie wavaa magwanda tunapenda fujo
 
Natamani ahukumiwe kifungo. Jimbo libaki wazi ili wapinzani wa jadi waingie uwanjani kugombania ngao ya hisani.
 
Back
Top Bottom