Mbunge wa ccm kwenye bodaboda! Mfano wa kuigwa!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
[h=3]MBUNGE WA CCM KWENYE BODABODA! MFANO WA KUIGWA!![/h]


[h=5] Hamisi Kigwangalla
[/h] [h=5] "In search of an ATM this evening in dowtown Arusha I boarded 'Kibodaboda'; the following quickly crossed my mind: efficient commuting, cheap and affordable to many, income generating to urban as well as rural youth, high risk of deadly accidents - appropriate education and regulation is needed to promote safety!"
[/h]
 
Hapo kenye mfano wa kuigwa sijui tunaiga nini, kwamba ameuza shangingi kwa ajili ya huduma za wajawazito na ameamua kutembelea Bajaji?
 
hivi tunapochagua wawakilishi wetu serikalini au bungeni tunatumia vigezo gani??huyu jamaa anaonekana kama mbumbumbu fulani ambaye hawezi kukaa chini na kuleta idea za maendeleo,halafu udoctor haujamtoa ujinga tu??
 
kwa hiyo huyo mwendesha pikipiki alisimama kwanza ili picha ipigwe au ni nini??kwa hiyo ndiye doctor wa kutuletea mabadiliko huyu??toeni huu ujinga hapa
 
Siwezi kupanda BodaBoda sijavaa Helmeti halafu ukaniambia ni mfano wa kuigwa:nimekataa

ni dhahiri kwamba dereva bodaboda ana akili kuliko mbunge,hajavaa nguo ya kujikinga na upepo,hana helmet,hajavaa viatu....huyu na January hawana tofauti,unafki tu!
 
Ndo anataka kutuamisha yeye ni wakawaida na anaishi maisha kama ya wanachi wa kwaida....akirudi mjengoni mama akisema wanaoafiki waseme ndiyo.....utasikia akiitika kwa herufi kubwa NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! Ushe....mtupu na atudanganyiki
 
Kwa tuliomuona, mkono wa pili wa kushoto alikuwa kabeba mfuko wa RAMBO!
Nadhani alitoka Dry-Cleaner kuchukua nguo.
 
CCM acheni upumbavu, tumezungukwa na matatizo mengi, mmeshindwa kutusaidia, mnapanda pikipiki kinafiki tu wakati mishahara yenu kwa mwezi ni zaidi ya sh, milioni 11. Hebu acheni kututia hasira
 
Anamdanganya nani? Akiumwa akatibiwe mwananyamala pia au mount meru hspt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom