Mbunge wa CCM kisesa kama Mnyika vile

Eyoma

Senior Member
Sep 9, 2011
166
40
leo bungeni mwenyeewe nimejionea mbunge wa Kisesa CCM Ameisasambua bajeti ya serikali kwamba hakubaliani nayo,na haungi mkono kupitishwa,pia amesema kuwa serikali ni mfilisi,anasema imekiuka mpango mzuri wa maendeleo wa rais kikwete.haya semeni na hilo tena.
 
baada ya serikali kusoma bajeti yake ile alhamisi alisema hataiunga mkono.

nampongeza sana kwa kusimama kwenye ukweli.
 
leo bungeni mwenyeewe nimejionea mbunge wa Kisesa CCM Ameisasambua bajeti ya serikali kwamba hakubaliani nayo,na haungi mkono kupitishwa,pia amesema kuwa serikali ni mfilisi,anasema imekiuka mpango mzuri wa maendeleo wa rais kikwete.haya semeni na hilo tena.

nachukia CCM, nachukia mtu yeyote aliye mwanaCCM... Siamini kama huyo jamaa hataseama ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo..............
 
CCM ni vinyonga, yule bwn. mdogo kigwangala aliyekataa kusaini afukuzwe Pinda aliigiza juzi anafanya maandamano et!!!
CCM wote walaghai/
 
Bunge lingekua linaendeshwa kwa utashi hakuna mbunge amabe akili zake ni timamu
amabae angekubaliana na bajeti kama hii. lakini kwa kua linaendeshwa kiushabiki,
kujipendekeza, kinafki, kiusaliti, kichama nakiwingi wa wabunge bungeni(usiokua na manufaa)
ndo maana bajeti kama ile na mambo mengine mengi ya kipuuzi yatapita.
 
Naomba Mwigulu (waziri kamili wa CCM), aedit chorus ya wimbo wake inayosema ...wabunge wa upinzani wanaopinga bajeti wana hoja ya siri... iwe wabunge wanaopinga bajeti wana hoja ya siri...
 
leo bungeni mwenyeewe nimejionea mbunge wa Kisesa CCM Ameisasambua bajeti ya serikali kwamba hakubaliani nayo,na haungi mkono kupitishwa,pia amesema kuwa serikali ni mfilisi,anasema imekiuka mpango mzuri wa maendeleo wa rais kikwete.haya semeni na hilo tena.

Akiweza kubakia na msimamo huo mpaka mwisho ndo nitampongeza! Hawa watu wakati wa kuchangia hutoa mapovu mengi ila linapokuja swala la kupiga kura ya kupitisha bajeti wanaishia kupiga kura ya kukubali!!
 
Back
Top Bottom