Mbunge wa ccm chitalilo atapeli million 100;adai si yeye kampuni yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa ccm chitalilo atapeli million 100;adai si yeye kampuni yake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 29, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,475
  Likes Received: 5,715
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa buchosa chitalilo yko matatani baada ya kudaiwa kutapeli mfanyabiashara zaidi ya sh million 100...habari zaidi zinasema mallamiko haya yamefika ofisi ya bunge na waziri mkuu.....mh huyu anadaiwa na bw athuman kaponola
  akibubujikwa na machozi kaponola amesema chitalilo alifika kwake kuomba ubia wa kununua na kuuza pikipiki na matairi na mipira ya ndani toka china;mimi nilitoa kiasi hicho sababu ya heshima ya mbunge kwa iman niliokuwa nae juu yake,leo hii ninaishi maisha magumu hata sijui ntakula wapi.......

  Mh alipohojiwa wiki hii alidai adaiwi kama mtu binafsi bali kampuni anayomiliki ya oceannic distributers limited....mfanyabisashara hyo anadai alifahamiana na mh alipokuwa akichimba nae madini shinyanga...mh alipobanwa alidai ni kweli anadaiwa kiasi karibu na million mia

  alipopigiwa simu mh mbunge alisema naomba jamani msiiandike hii habari mpka tukutane uso kwa uso chonde chonde mkitaka kila kitu narudi dar ntawaeleza sitoficha kitu...gazeti la mwanahalisi limeona badhi ya barua kwenda ofisi za ccm makao makuu ..

  Na kuona baadhi ya nyaraka za ofisi za ccm kuomba bunge limalize swala hilo bila kutoka nje...

  Mh ni mbunge wa jamhuri ya muungano na zipo kanuni za utumishi na maadili zinazohusu viongozi matapeli kama hawa;bw mtanda wa ofisi ya ccm alikutana na kaponola kusuluhisha swala hili 2009 21 oct hotel ya landmark...walikubaliana mbunge kkuanza kumpa sh million 30 ili na yeye aweze kulipia den alilokuwa amekopa bank ya akiba..kaponola alichukua mkopo wa sh million 40azania bank na kulalmika wameshamletea barua ya kupiga bei nyumba yake kulipia deni anaomba msada
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,475
  Likes Received: 5,715
  Trophy Points: 280
  Imeelezwa mbunge huyu kupitia kampuni yake alisaini kataba na kaponola dc 2008 walikubaliana kuagiza pikipiki aina ya dayun kutoka china imeonyeshw amkataba huo uliosainiwa na wote wawili ikieleza pamoja na mambi mengine kaponoela ametoa million miamoja yaani 100,000,000 ..tulienda china na tukawekewa oda ya pikipiki mara baada ya kaponola kurejea akaambiwa na mh tapeli huyu kwenda mwanza kujiandaa kibiashara zaidi na eneo la biashara mzigo utakapokuwa ukiuzwa

  mpaka apr mwakajana mzigo ulikuwa aujafika mwanza na mh tapeli huy akaanza kumkwepa mbia wake mpaka leo tar 26 mzigo aujafika ndugu yangu huyu si tapeli tena mmuwaji...nimeshindwa kuelewa na sina kazi nasubiri tu huku nikiangaika kupata haki yangu
  dec 14 katibu mkuu makamba alimwandkia waziri mkuu huku akinukuu aya za nyerere kama kawa ""kwa kuwa chama chetu ni cha watu na sisi ni viongozi wa watu basi akuna shida yoyote ya watu ambayo twaweza kusema aituhusu ""nanukuu barua ilimfikia waziri mkuu nae waziri mkuu pinda asivyo na haya akajibu amemwita mh chitalilo na kumuhaidi kumaliza tatizo hili mpaka oct mwaka huu ..cijui akiwa mbunge ama??...mwanahalisi lilipmhoji zaidiakadai huu mwaka wa uchaguzi na nimeambiwa anatumiwa na watu wanaotaka jimbo langu

  wananchi wa buchosa hili tapeli msilichague kabisa kabisa kama wewe ni mwana buchosa mtaarifu na mwenzako htuitaji wabunge matapeli bungen mwetu
   
Loading...