Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mbunge wa Babati mjini, Pauline Gekul amefunguka utofauti katika utendaji kazi alivyokuwa mbunge kwa kiti cha CHADEMA na utendaji kazi akiwa ndani ya Chama tawala CCM.
Akizungumza na mwandishi wa Dar24, Mercy Mbaya amesema kwa sasa masuala ya wananchi yanaenda vizuri sana na kazi imekuwa nyepesi tangu ahamie CCM. ''Nilivyohamia CCM nimepata ushirikiano wa hali ya juu sana masuala ya wananchi yanakwenda vizuri sana mwanzoni nilivokuwa mbunge wa upinzani vitu vingi manake nisukume mwenyewe vinaweza visitekelezwe au visifanyike, lakini sahivi nipo CCM mambo yamekuwa rahisi sana'' amesema Mbunge Gekul. [ 72 more words ]