Mbunge wa CCM akijiliwaza baada ya kukosa Uwaziri

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,263
24,140

Mh. Juma Kapuya ambaye ni mbunge wa huko Tabora, akijiliwaza kwa kucheza dansi mtindo wa 'Pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO wakati akiwa ndani ya ukumbi wa Mango Gardens, Kinondoni jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita..

Ni matumaini Mbunge Profesa Kapuya ataonyesha pia juhudi za nguvu (IMPACTO) katika kuchangia hoja za kupinga malipo kwa DOWANS katika bunge litakalokaa Februari 2010 mjini Dodoma.
 
View attachment 21290

Du! mkuu hii kali. Yaani mtu ambaye tunamtarajia aende kujadili jinsi ya kuzuia malipo ya Dowans ndo anafanya hivi! Sasa ndo napata akili kwa nini hawa watu huwa wanasinzia kwenye ukumbi wa bunge.
 
Alhaji Juma Kapuya! tehetehe sasas si kuna msuguano hapo? na joto lake? kuna usalama kweli?
 
HUKU NIKUZEEKA VIBAYA NA KUKOSA HEKIMA MZEE MZIMA AKICHEZA NA VIJUKUU..!!.."Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake,si kwa huzuni wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu"...{2 Wakorintho 9:7 }Si kila mtenda mema ni mcha Mungu, bali mcha Mungu hutenda matendo mema...UMASKINI TANZANIA
 
kweli wanajf kiboko mmepataje huyo prof? aaaaaah anakumushia enzi na je aliyemkumbatia ni mke ama kimada?
mapinduziii daimaaa:kev:
 
priorities zetu ziko mrama sana. Makelele majukwaani na starehe, huku umaskini unaendelea kutumaliza.

Hivi hata watoto wake wakiona hiyo picha si balaa tupu?
 
Akudo Impact in Bendi yake nasikia. Halafu angalia huo mkono wake wa kushoto ulipo, kazi kweli kweli.

View attachment 21290

Mh. Juma Kapuya ambaye ni mbunge wa huko Tabora, akijiliwaza kwa kucheza dansi mtindo wa 'Pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO wakati akiwa ndani ya ukumbi wa Mango Gardens, Kinondoni jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita..

Ni matumaini Mbunge Profesa Kapuya ataonyesha pia juhudi za nguvu (IMPACTO) katika kuchangia hoja za kupinga malipo kwa DOWANS katika bunge litakalokaa Februari 2010 mjini Dodoma.
 
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii inainyemela nchi. We kawapime viongozi wetu uone walivyochafuka!
 
Uyo mnyamwezi asipokaa chonjo atakanyaga miwaya bila kujijua. Huwaga inaanzaga hivi hivi!:shock:
 
Nyie vijana acheni wivu. Hapo mzee Kapuya anaenda na wakati ati. Hata ukiangalia huyo mwanamke anayecheza nae utaona kwamba amekomaa (amegangamala), siyo mtoto mdogo huyoooo, sema ni amekonda tu! Mzee Kapuya kanyaga gesi twende bana, hii kazi unaiweza.
 
Hawa ndio watunga sheria wetu.

Kama huo ni mkono wake na si photoshop ! Hii ni aibu sana kwa familia yake, wapiga kura wake na chama chake

Alhaji Prof Athumani Kapuya! Ingekuwa nchi za wenzetu ingebidi ajiuzulu mkono huo ni kama sex abuse!
 
Huo mkono ukiangalia vizuri alikuwa anazigusagusa.

Back
Top Bottom