Mbunge wa CCM ajilipua bungeni, ataka mishahara ya watumishi iongezwe mara dufu!

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan. Ametamka hayo bungeni leo wakati akichangia mapango wa maendeleo wa 2022-2025 bila kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumuogoa mtu yeyote. Hebu msikilize wewe mwenyewe kwenye klipu hiyo hapo chini 👇

Hata bila kusema salary zitaongeswa next financial year.

Afu ishu sio salary tuu bali Kodi ya PAYE iwe chini ya asilimia 6
 
Ndio. Wakiwapanga vizuri wamachinga kama alivyoshauri mbunge mapato ya kutosha yatapatikana.
Samia yuko kazini na hatanii 👇

Screenshot_20220205-173939.png
 
Back
Top Bottom