Mbunge wa Busega, Dkt. Chegeni ataka Waziri Mkuu asiwe anajibu maswali ya papo kwa hapo Bungeni

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge.

Baadaye Naibu Spika, Dkt. Tulia akahitimisha kukujibu kuwa hoja yako haina mashiko.

Umetuaibisha sana wapiga kura wako .

Nadhani hii ishara yawazi hata ndani ya CCM wamekuchoka.

Chegeni.JPG
 
Dr chegeni Ana beef na yule wa pale juu....sishangai upuuzi alioongea Ni kawaida kwa wanaccm.Pili yeye anajua kilichotokea baada ya yeye kumjibu yule bwana pale St Gasper aliyetumwa na jiwe apeleke vipeperushi flan wakati wa uteuzi wa mgombea urais 2015. Jiwe Ana kisasi kibaya Sana jamani....akisema nakusamehe ujue sababu yupo mbele ya camera Ila moyoni hajasamehe hata kdg.Singependa kufafanua zaidi ntawachoresha watu.
 
Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge.

Baadaye Naibu Spika, Dkt. Tulia akahitimisha kukujibu kuwa hoja yako haina mashiko.

Umetuaibisha sana wapiga kura wako .

Nadhani hii ishara yawazi hata ndani ya CCM wamekuchoka.

Nyie wapiga kula wake mnyimeni kula October.
 
Mwenyewe aliona bonge la pointi Kama za zilizompa Mwigulu uqaziri kwa Mara ya pili,Kama za Kanhi Lugora kutafuta kurudishiwa uwaziri,yeye angefunga kazi akasema Magufuri Ni mungu angepatia Sana kesho tu angeula.
 
Back
Top Bottom