Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Ùyo ameshaandaa fungu kwa ajili ya kutoa rushwa pia chama chake kimeshandaa tisheti, kõfia na vitenge kwaajili ya wananchi wa Bunda vijijini ambao kero ya maji ni historia kwao
Kwa kweli hilo Jimbo ndo nalisikia leo lakini nimeulizia kwa watu wa Bunda wanasema Jimbo hilo lipo na Mbunge wake ni wa CCMWewe unaita kweli..
Kwani kuna Jimbo la Bunda vijijini, kwani kuna Mbunge!?
Sijawahi kumsikia, sijui jina lake
Aje jimboni kufanya nini wakati, aliwapa kofia na t shirts kipindi cha kampeni?Amekesha, amehonga, ameroga ili tu mumpe uwakilishi, alafu ninyi mnaamini kweli amefanya hayo yote ili awatumikie?
Serikali iligawa wilaya ya bunda na kuongezeka majimbo mawili ambayo ni Bunda vijijini na Bunda mji. Awali ilikuwa jimbo la Bunda ambalo mbunge alikuwa ndg Wassira na Mwibara mh Lugora ambaye ni mbunge hadi sasa.
Tangu achaguliwe huyu mbunge wa Bunda vijijini hajawahi kuzungukia jimbo kujua walau kero na changamoto za wanajimbo tofauti na wabunge wenzake. Cha kushangaza hata bungeni hatujawahi kumsikia akitoa hoja wala kuuliza swali kwa niaba ya wananchi wa jimbo lake.
Ingawa asilimia kubwa ya wananchi wa Bunda vijijini ni wakulima wa pamba na baadhi ni wafugaji wakubwa lakini umaskini umekithiri jimbo hili kwa sababu ya Sera, mipango mibovu ya halmashauri.
Barabara mbaya hazipitiki wakati wa mvua, maji ni shida hata visima hakuna. Vile vile bei kwa zao la pamba ( ambayo ni kama dhahabu hapa wilayani) ni changamoto tofauti na mazao mengine ya biashara kwa wenzetu mfano korosho Mtwara, Kahawa Bukoba na Moshi.
Mbunge wetu wala hashughuliki na hizi changamoto. Sisi wananchi tunamsubiri kwenye uchaguzi kama atarudi maana hatuna namna kwa sasa ya kumwajibisha katiba yetu imetunyima fursa ya kuwaajibisha viongozi wa aina hii ya mbunge wetu.

Sijawahi kusikia mbunge akijipatia yeye mwenyewe budget ya ujenzi wa mabarabara na mengine mwenye ilo jukumu ni serikali kuu huu ujumbe tafadhali naomba uufowadi kwa mh kingstone from Jamica
Wewe ni poyoyo miaka yote ya ubunge wa wasira bunda haina maji na umbali kutoka ziwa Victoria ni km 9 tu,mradi wa maji ulisimama zaidi ya miaka 9 na ulikuwa unafadhiliwa na world bank yeye na Nyakiranganyi wakapiga hela,kumbuka swali alilowahi uoizwa na wananchi wakilallamika hawana maji aliwajibu fyoko kuwa dawa huwamnamezea nini Kama hamna maji?hicho ndicho kilicho mpiga chini 2015,kwa ujumla viongozi kutoka Mara ni mbulula hawana ushirikiano ndio maana hatuna maendeleo,Ninyi watu wa Bunda nawashauri mumrudishe Mhe. Wassira Bungeni. Mhe. Wassira amefanya mengi sana alipokuwa Mbunge wa Bunda. Mabwawa yote, Shule za Sekondari, TASAF na mengine mengi yametokana na Mhe. Wassira. Mimi namkubali sana Mhe. Wassira ni mfuatiliaji na hakuna kijiji ambacho Mhe. Wassira hakufika.
Nchi hii in yetu sote,swala la TASSAF ni mipango ya serikali kuzisaidia kaya masikini.naona nikomee hapo maana kuna watu wana mahaba na watu na siyo maslahi ya watu.ANNA TIBAIJUKA Katangaza kustaafu.ABDALLAH BULEMBO NA LWAKATARE WOTE wametangaza kustaafu je hawa wote ina maana wamekataliwa?.Mwaka huu ni mwaka wa ving'ang'anizi kustafishwa kwa fedheha,Anaemtaka akaongoze familia yake.Kama unampenda Sana kamchukue ukalale naye akupige miti usiku kucha!
Boniphace Getere bado anayo nafasi ya kuchaguliwa kwa maslahi ya wananchi wa jimbo la bunda vijijini.Natambua kuwa kuna diwani mmoja anafanya kampeni za chini kwa chini lakini kwa boni bado ana nafasi 2020.Serikali iligawa wilaya ya bunda na kuongezeka majimbo mawili ambayo ni Bunda vijijini na Bunda mji. Awali ilikuwa jimbo la Bunda ambalo mbunge alikuwa ndg Wassira na Mwibara mh Lugora ambaye ni mbunge hadi sasa.