Mbunge wa Bunda na mwenyekiti wa CCM washikiliwa na polisi kwa uchochezi uliosababisha mauaji ya watu wawili!

Hii ni danganya toto tu. Hawana keai hao. Kama vipi wakamtie ndani Mnyeti aliyetolewa ushahidi wa kuwahonga madiwani. Ccm bhana!!
 
Mleta taarifa kama ingekuwa China tungeshakunyonga zamanj

Lukwafya bhagasi ,

Mkuu kabisaaa sasa hivi tungekuwa tunagawana Mali za marehemu.

Ila mkuu, mbona hiyo avatar huwa ni ya misasa ???

Imekuwaje nawe unaitumia au ninyi ni mapacha!?

Au wewe ndiye unatumia ID zaidi ya moja kwa avatar moja!?

Nisamehe kwa maswali ya ki polisi na kimahakama.
 
Anhaaaa...Mbunge wa Bunda si Esta Bulaya? Ama Bunda ina Mbunge zaidi ya Mmoja. Mtoa taarifa, fafanua ni BUNDA IPI!
chuwaalbert, wewe uelewa wako toka Mh. Lissu alazwe umekuwa wa mashaka mashaka. Bunda ina majimbo mawili- Bunda Mjini (Ester Bulaya-CHADEMA) na Bunda Vijijini ( Boniface Getere Mwita-CCM)
 
chuwaalbert, wewe uelewa wako toka Mh. Lissu alazwe umekuwa wa mashaka mashaka. Bunda ina majimbo mawili- Bunda Mjini (Ester Bulaya-CHADEMA) na Bunda Vijijini ( Boniface Getere Mwita-CCM)
Mkuu Wilaya ya BUNDA ina majimbo matatu
1. Bunda Mjini - Bulaya CDM
2. Bunda (Vijijini) - Getere CCM
3. Mwibara - Lugora CCM
sasa mtoa mada angetuelewesha kati ya hao ni yupi yupo lupango maana wote ni wabunge toka Wilaya ya BUNDA?
 
Anhaaaa...Mbunge wa Bunda si Esta Bulaya? Ama Bunda ina Mbunge zaidi ya Mmoja. Mtoa taarifa, fafanua ni BUNDA IPI!
Mkuu Wilaya ya BUNDA ina majimbo matatu
1. Bunda Mjini - Bulaya CDM
2. Bunda (Vijijini) - Getere CCM
3. Mwibara - Lugora CCM
sasa mtoa mada angetuelewesha kati ya hao ni yupi yupo lupango maana wote ni wabunge toka Wilaya ya BUNDA?
Atakuwa Mbunge wa Bunda (vijijini) Mwita Getere ndie anaepakana na wilaya za Serengeti na Butiama ambazo ndio wilaya zinazogombea mipaka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom