Mbunge Wa Bumbuli Atoa Ahadi Mpya: Kila Mwanafunzi kwenda Shule Kwa Bajaj


Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,448
Points
0
Age
39
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,448 0
Akizindua mradi wa wake mpya wa usafiri wa Bajaj kwa jimbo la bumbuli pale Sea cliff, Mbunge wa jimbo hilo February Marope anayesifika kwa kutoa ahadi kemkem zisizotekelezeka, , ameahidi kila mwanafunzi jimboni kwake kwenda shule kutumia bajaj.

"Kama mimi mwenyewe natumia Bajaj tena iliyosima, dereva wake akifotoa picha ilhali VX yangu imesimamishwa kando, nyinyi pia lazima mtumie Bajaj zangu".

"Huu ni mradi mpya wa wanabumbuli........"
"Ikiwa Dereva wa Bajaj hata simama ukimpungia mkono, nawaombeni mnitumie ujumbe mfupi kupitia mtandao wangu wa Twitter facebook au SMS. Namba ya kuwataja mafisadi nilishawapa ili niwafikishe takukuru. Alisema Mheshimiwa.

Mbunge huyo kutoka kaole, amevunja historia kwa usanii kwa kuwa waziri wa kwanza barani Afrika kutumia Bajaj kwnye shuguli zake likiwa limepakiwa maeneo ya ufukwe wa bahari. Wana Bumbuli mambo makubwa yanakuja Jimboni kwenu....lol......

Kaeni mkoa wa kula, movie ya Mhemshimiwa itaingia sokoni kama mwezi hivi ujao
 
RealMan

RealMan

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
2,366
Points
1,250
RealMan

RealMan

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
2,366 1,250
Muke Ya Muzungu unachezeya future impossibo prezident wewe.??
Umesahau "baba na mwana wanaimba na kucheza" walichezeya future feeble prezidaaa......
 
Last edited by a moderator:
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,448
Points
0
Age
39
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,448 0
Muke Ya Muzungu unachezeya future impossibo prezident wewe.??
Umesahau "baba na mwana wanaimba na kucheza" walichezeya future feeble prezidaaa......
nITAKE RADHI MKUU, FUTURE PREZIDAA WA WAPI???? Kama presidaa au mfalme wa Bumbuli poa, lakini siyo wa TZ. siku hizi tumekuwa wajanja zaidi ya sungura. Hatuiingii kwenye mitego.... Ikibidi nitachukua paspoti ya nchi ya mume wangu ila siyo huyu kilaza kuwa presidaa wangu. wapo vijana kibao wenye uwezo mkubwa sana wanaoweza kuwa siyo huyu.
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,333
Points
2,000
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,333 2,000
January juuu,
 

Forum statistics

Threads 1,295,163
Members 498,180
Posts 31,201,909
Top