Mbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare, Katika ubora wake, sasa ni zamu ya Nyakanyasi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Shughuli ya Ujenzi wa Barabara ya kupita wananchi inayoonganisha kata ya Bakoba na Kibeta, Eneo la Nyakanyasi umefanyika chini ya Usimamizi wa Mh. Wilfred Mugnayizi Lwakatare, ikiwa ni sehemu moja ya hapo ya shughuli za kuboresha maendeleo ndani ya Manispaa ya Bukoba.

Shughuli hizo zilifanyika pia chini ya Diwani wa kata ya Bakoba Mh. David Mwakyoma akileta tija kwa wananchi wake wa Kata hiyo kwa kuonyesha nguvu kazi ndani ya shughuli nzima kwa kusaidiana na Wananchi kwenye ujenzi wa barabara.

Msaada uliotolewa na Mh. Lwakatare ni pamoja na Cement mifuko 7,Mchanga , Kokoto, Mafundi, nguvu kazi Motisha, Mawe Trip2 yenye Jumla ya Gharama shs. 600,000. Mh. Lwakatare alishiriki mwenyewe kwenye umwagaji wa Zege na usombaji wa Mawe katika shughuli hiyo.
bk1.png
bk2.png
bk3.png
bk2.png
bk6.png

bk7.png

Mbunge Lwakatare akishiriki katika Ujenzi

Lwakatare ameamua kuing'arisha Bukoba kwa kuanza na zile sehemu Korofi za Barabara, Muda wa Siasa na uvyama umeisha Bukoba, Sasa kila mtu anajikita katika kuletea Maendeleo na Kuufanya mji wa Bukuba uwe mji wa Mfano kuwa Usafi na Miundombinu Bora. Sasa ni kazi mwanzo mwisho.
 
Huyu jamaa huenda ashamkubali Magu kuwa ndo mshindi halali wa uchaguzi mkuu uliopita, ns hivyo ni Raisi halali wa JMT

AMkubali au kutomkubali anachofanya ni kutekeleza wajibu wake kwa pale anapoweza.Pole
 
Hongera sana Mh Lwakatare, huu ni wakati wa kuwatumikia wananchi... Wakati Magufuli akitekeleza ilani ya UKAWA, nasi tuendelee kusonga mbele kama tulivyowaahidi wananchi
 
Shughuli ya Ujenzi wa Barabara ya kupita wananchi inayoonganisha kata ya Bakoba na Kibeta, Eneo la Nyakanyasi umefanyika chini ya Usimamizi wa Mh. Wilfred Mugnayizi Lwakatare, ikiwa ni sehemu moja ya hapo ya shughuli za kuboresha maendeleo ndani ya Manispaa ya Bukoba.

Shughuli hizo zilifanyika pia chini ya Diwani wa kata ya Bakoba Mh. David Mwakyoma akileta tija kwa wananchi wake wa Kata hiyo kwa kuonyesha nguvu kazi ndani ya shughuli nzima kwa kusaidiana na Wananchi kwenye ujenzi wa barabara.

Msaada uliotolewa na Mh. Lwakatare ni pamoja na Cement mifuko 7,Mchanga , Kokoto, Mafundi, nguvu kazi Motisha, Mawe Trip2 yenye Jumla ya Gharama shs. 600,000. Mh. Lwakatare alishiriki mwenyewe kwenye umwagaji wa Zege na usombaji wa Mawe katika shughuli hiyo.
View attachment 316974 View attachment 316975 View attachment 316976 View attachment 316977 View attachment 316978
View attachment 316979
Mbunge Lwakatare akishiriki katika Ujenzi

Lwakatare ameamua kuing'arisha Bukoba kwa kuanza na zile sehemu Korofi za Barabara, Muda wa Siasa na uvyama umeisha Bukoba, Sasa kila mtu anajikita katika kuletea Maendeleo na Kuufanya mji wa Bukuba uwe mji wa Mfano kuwa Usafi na Miundombinu Bora. Sasa ni kazi mwanzo mwisho.
Dada ndo wewe mwenye hilo wigi hapo kwenye picha:confused:
 
Nimambo ya kawaida iv,aongeze jitihada kuwaunganisha wenzake(wananchi) na shughuli zinazogusa maisha yao
 
nyie Bukoba mlijichelewesha wenyewe kwa kumkumbatia kagasheki , maendeleo hayawezi kuja kwa watu kuangalia TV za bure alizotoa kagasheki , maendeleo ni kama hivi kamanda Lwaks anavyofanya .
 
Hongera Lwakatare, fanya kazi baba mpaka waliokuita gaidi waone haya.
 
Back
Top Bottom