Mbunge wa Bahi -Omar Badwel asema kesi yake ina mkono wa Takukuru na Wanasiasa.

CCM haiwezi kusema kwa sababu ndio mpango wao. Yeye aombe huruma ya wenzie wamsafishe asiogope wala kupagawa. Mwenzi Chnge anakula bata kiulaini. Mwamboe asihofu kwani utawala wa CCM hauwezi kumwacha afe pekee yake. Watamlinda tuu.
 
badwel anaonewa. tunafahamu msimamo wake kuhusu uchimbaji wa urani unaotarajiwa kufanyika jimboni kwake hivyo aliwaandaa wananchi wake wasihame bila malipo sasa hiyo imewakera wakubwa ndo maana wanataka wamuondoe ubunge! ninavyomfahamu anamiliki vituo viwili vya mafuta na alikuwa na pesa kabla hajawa mbunge. huo ndo ukweli

Vituo viwili vya mafuta vya Badwel pale kizota sio vya Badwel Omar ni vya mwarabu mwingine kabisa! Kabla hajawa mbunge Badwel Omar alikua diwani Wakati aliwahi kufukuzwa Uenyekiti wa Halmashauri wilaya ya Bahi kwa kosa la kumlazimisha Mkurugenzi wa Bahi amlipe posho miaka miwili mbele,akiwa diwani wa Chipanga alituhumiwa na shirika la World Vision Chipanga kwa kuliibia shirika hilo mifuko 20 ya cement,pia pale Chipanga Badwel alikua na kashifa ya kufanya mapenzi na kijana wa kiume mtoto wa mwalimu wa shule ya msingi akiitwa Noel,pia Badwel mwaka 2003 aliua vijana 3 kwa bunduki akidai walimvamia usiku!
 
Mbunge wa jimbo la Bahi Omar Badwel amesema kesi yake ya rushwa inayo mkabiri imetengenezwa kwa lengo la kumuua kisiasa,amesema njama hizo zimepangwa na wanasiasa na Takukuru Makao makuuu,alisema kama kweli angekua amekula rushwa Chama chake CCM kingechukua hatua kali juu yake lakini kwa kuwa hata CCM imegundua ni uzushi ndio maana yupo salama na anaendelea kuwa Mbunge,"wananchi msiwe na wasiwasi mimi ni mbunge wenu na nitaendelea kuwa Mbunge wenu haya mnayo yaona ni uzushi tu wa wanasiasa na hao wanao jiita Takukuru" kauli hizo alizitoa katika kijiji cha Chibelela na Mwitikila Jimboni Bahi Mkoani Dodoma,akiwa Mwitikila alito laki 5 kwa kikundi cha washonaji nguo na kuwambia kuwa waendelee kumuombea ashinde kesi yake na wafitini wote waumbuke!

Huyu jamaa ni yule mwizi aliyekamatwa na mkono kwenye chungu.

TAKUKURU anailaumu vipi na hiyo ndiyo kazi yake?
Akitaka asikamatwe ASIIBE kwa njia ya rushwa.
Mimi ni mwana CCM lakini nafikiri huyu jamaa ana akili ndogo sana ya kumsaidia.
 
Vituo viwili vya mafuta vya Badwel pale kizota sio vya Badwel Omar ni vya mwarabu mwingine kabisa! Kabla hajawa mbunge Badwel Omar alikua diwani Wakati aliwahi kufukuzwa Uenyekiti wa Halmashauri wilaya ya Bahi kwa kosa la kumlazimisha Mkurugenzi wa Bahi amlipe posho miaka miwili mbele,akiwa diwani wa Chipanga alituhumiwa na shirika la World Vision Chipanga kwa kuliibia shirika hilo mifuko 20 ya cement,pia pale Chipanga Badwel alikua na kashifa ya kufanya mapenzi na kijana wa kiume mtoto wa mwalimu wa shule ya msingi akiitwa Noel,pia Badwel mwaka 2003 aliua vijana 3 kwa bunduki akidai walimvamia usiku!

nna mashaka na WAGOGO WA BAHI NA WALE WA MTERA
 
badwel anaonewa. tunafahamu msimamo wake kuhusu uchimbaji wa urani unaotarajiwa kufanyika jimboni kwake hivyo aliwaandaa wananchi wake wasihame bila malipo sasa hiyo imewakera wakubwa ndo maana wanataka wamuondoe ubunge! ninavyomfahamu anamiliki vituo viwili vya mafuta na alikuwa na pesa kabla hajawa mbunge. huo ndo ukweli

Mmiliki wa Petro station sio Badwel huyo,Omar Badwel kabla hajawa mbunge alikua diwani wa kata ya Chipanga na alilkua ana miliki mashine tatu za kusaga katika vijiji vya chipanga,chikopelo na magaga1
 
Naungana na hoja ya Kafulila aliyo sema Mbunge wa Bahi asimamiswe ubunge hadi kesi yake itakapo isha,sasa kwa uzembe huu wa kanuni za bunge na hata udhaifu taratibu za kinidhamu za bunge na CCM ina mpa uhalali wa mwizi kutamba mitaani na kuingia bungeni na kua na jeuri ya kujiona hakuna anae weza kumsumbua!

hao ndo magamba bana. kiutaratibu huyu mbunge alitakiwa kuwekwa pembeni asiudhurie vikao vya bunge hadi kesi yake iishe. mbona huku maofisini mtu ukiwa na kesi unasimamishwa kazi na kulipwa nusu mshahara hadi mahakama itoe uamuzi wake wa mwisho. whats the difference na ishu ya bad well?
 
anazungumziaje jambo lililo mahakamani? ki vipi anaidhalilisha taasisi ya takukuru na anaachwa tu..... si kashawanunua mahakama huyo!! eti ccm haijachukua hatua dhidi yake hivyo inamaanisha hana hatia.... kwani CCM ni zaidi ya mahakama au na yenyewe ni moja ya mihimili ya dola!! kwa kauli hiyo naona ameichongea ccm kuwa inalea wala rushwa kwa wenye akili ya kufikiri
 
Lini CCM ikakemea Rushwa .....
Mi nafurahi maana napigia mahesabu Jimbo hilo la Bahi
 
mmezidi afadhali muwe mnawajibishwa kazi yenu kurudi majimboni kudanganya wapiga kura wenu humdanganyi mtu cku hzi watu wana akili na wanafatilia mambo muhimu
 
Back
Top Bottom