Mbunge wa Bahi (CCM) ashikiliwa na polisi kwa kuomba rushwa

Wabunge wengi wa ccm wametoa rushwa kupata ubunge nao pia hupokea rushwa. Sitegemei muujiza kwamba huyo mbunge akafungwa kwa kuomba rushwa wako na wengine kwenye kamati hizi za bunge wametuhumiwa kupokea rushwa but hakuna kinachoenddelea. Hii ndo Tanzania Bana
Hivi hii ni mara ya kwanza kutokea? Nakumbuka kuna mbunge mwingine alishashutumiwa kupokea rushwa na kesi yake iliishia tu kiana. Angekuwa wa upinzani, angeweza hata kupoteza jimbo, lakini kwa kuwa ni wa magamba nafikiri hii siyo kesi tena.
 
kweli nimeamini milioni 500 si ufisadi ila laki moja ni ufisadi, ina maana 10000 ndio rushwa? Au?
mmmh kumbe na wewe ni mla rushwaaa?

atakupa 10million useme uchunguzi unaonyesha hana hatia ilkua takrima na si rushwa

hahahaaaaaaaaaaaaa lol
 
Naam,

Nimeiboresha title na content naona mwenzetu amesahau kama hii ni JF.

Lakini, kiasi chenyewe inadaiwa hakifikii hata 5mil, achilia mbali 7mil. What a shame?

Mkuu siku usiposinzia mapema mambo yanakwenda vizuri sana hapa Jf. BIG UP SANAA!
 
kaomba rushwa ya 7mil jamani.... mi ndo ninayejua cos mimi i mfanyakazi wa Takukuru
kumbe na wewe ni mla rushwaaa? hebu niambie zile za Yona, Mramba na Mgonja mmefikia wapi na uchunguzi??

atakupa 10million useme uchunguzi unaonyesha hana hatia ilkua takrima na si rushwa

hahahaaaaaaaaaaaaa lol
 
kaomba rushwa ya 7mil jamani.... mi ndo ninayejua cos mimi i mfanyakazi wa Takukuru

Kumbe wewe ni mfanyakazi wa Takukuru? Aisee tushajua. Ngoja tukuandalie thread yako ili ujibu maswali yetu. Kwanza ngoja nikupe swali la kuonja. Kwa nini huwa mnakimbilia kukamata vidagaa vya rushwa na kuyaacha mapapa?
 
Yawezekana hata yale aliyoyasema mwenzao kafulilo bungeni kwamba Zambi, Muhita na huyo Badweli walikuwa wakiomba karushwa yalikuwa ni ya kweli. jamani. Sasa hapo Hosea ndiyo mahali pa kuanzia kujenga discipline kwa hao watu, ukishindwa kumshughulikia huyo basi wote watakushinda jumla.

Mkuu do you mean Dr. Edward Hosea, or another Hosea? If you mean Edward, he can't!
 
Juma kidogo, swali lako zuri sana.... nalijibu kama ifuatavyoooo

mimi nimwajiriwa, na bosi wangu ni mwajiriwa, bosi wake bosi wangu ameteuliwa na mkuu.... therefore all our cases lazima yakidhi matakwa ya mkuu.... la sivyo by default wote hatuna kazi....

sasa hivi wakuu hawaelewani....yani wanafanyiana wenyewe ubaya...sisi tunatumika kama wakandamizaji....kwahiyo, saizi utaona ukali wetu
 
Duh! Nimekuelewa, kwa hiyo mkuu anateua watu halafu anawapa amri na maelekezo ya nini cha kufanya. Hapo nimeelewa kumbe hata takukuru nako kuna dagaa, yaani akina nyinyi ndo maana mnapewa meno ya kung'ata vidaga wenzenu. Halafu kuna takukuru papa, ndio hao walio karibu na mkulu.

Poa, kaswali ka mwisho kadogo. Nyinyi maafisa wa takukuru mna mafunzo maalumu ya kuepuka rushwa? Ama ni kiapo gani mlichopewa ili kuhakikisha nyinyi wenyewe hamuingii katika mtego wa rushwa?

Kwa sababu nyinyi, sisi na wale sote tu binadamu na asilimia 95 kati yetu lazima tushawahi kudokoa katika maisha yetu. Si pesa tu, hata mboga enzi ya utoto.
 
Juma kidogo, swali lako zuri sana.... nalijibu kama ifuatavyoooo

mimi nimwajiriwa, na bosi wangu ni mwajiriwa, bosi wake bosi wangu ameteuliwa na mkuu.... therefore all our cases lazima yakidhi matakwa ya mkuu.... la sivyo by default wote hatuna kazi....

sasa hivi wakuu hawaelewani....yani wanafanyiana wenyewe ubaya...sisi tunatumika kama wakandamizaji....kwahiyo, saizi utaona ukali wetu
Majasho,

Kimsingi umefanya vema kuleta taarifa hii. Tatizo nilionalo hapa ni kuwa utendaji wa taasisi yenu (yetu?) unatia shaka sana. Ukiangalia maoni ya wananchi wengi ni kuwa hawana imani na TAKUKURU. Mna kazi kubwa mbele yenu.

Sentensi yako ya mwisho inanishtua, "mnatumika" tena "kama wakandamizaji"? I see, kweli hatuna haja ya kuwa na taasisi hii basi!
 
Last edited by a moderator:
mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi

Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya MH. A L Mrema ya LAAC.

habari za undani zinakuja. upelelezi wa takukuru]/color]
unaendelea

ukishawataja TAKUKURU TU BAAASI,,,,,,,HUKUMU NAIMALIZIA KICHWANI MWANGU
 
Mla rushwa ni kama malaya tu, hata kama atapata kila kitu hataacha umalaya wake.
Sioni uhusiano wa rushwa na posho
mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi

Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya MH. A L Mrema ya LAAC.

habari za undani zinakuja. upelelezi wa takukuru unaendelea
 
Ni vijisenti tu ...........peoples power jamaa huku nchi inapokwenda hawa watajuta
 
Mla rushwa ni kama malaya tu, hata kama atapata kila kitu hataacha umalaya wake.
Sioni uhusiano wa rushwa na posho

mkubwa!....hao ndio wabunge wa Nape na JK,walipatikana kwa rushwa ndani ya chama,wakashinda kwa rushwa,na wanafanya kazi kwa rushwa,na wanakamatwa kwa kosa la rushwa,na watashinda kesi kwa rushwa.
 
watu wa bahi tumepata aibu sana! it is a big shame!

mlimteuwa kwa rushwa,mkampigia kura kwa rushwa,akashinda kwa rushwa,anafanya kazi kwa rushwa,amekamatwa kwa kosa la rushwa na atashinda kesi kwa rushwa.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi

Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya MH. A L Mrema ya LAAC.

habari za undani zinakuja. upelelezi wa takukuru unaendelea
Posho haitoshi kwake tu??mbona wabunge wengine wanaopata hiyo posho kidogo hawajakamatwa kwa rushwa???huyo ni tabia yake tu. Udogo au uwingi wa posho hapo hauhusiki.
 
Back
Top Bottom