Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Paulina Gekul na Naibu Waziri wa Maji wafanya ziara Bonde la Maisaka

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mbunge wa jimbo la babati mjini Mkoani manyara Mhe. Pauline Gekul pamoja na naibu waziri wa Maji Mhe. Izack Kamwele wamefanya ziara katika bonde la Maisaka,kiongozi na kijiji cha Singu ili kutatua kero za maji zinazowakabili wanakijiji hao.

"Vijiji vya singu,sigino na daghailoi tutaviweka katika bajeti ya mwakani ya mwaka wa fedha ili vipate maji" aliyasema hayo naibu waziri wa maji,vilevile Mbunge wa jimbo hilo aliwaeleza wanakijiji hao wasiwe na hofu kwani ahadi zao zinatekelezeka.
 

Attachments

  • IMG-20161125-WA0091.jpg
    IMG-20161125-WA0091.jpg
    82.5 KB · Views: 77
  • IMG-20161125-WA0090.jpg
    IMG-20161125-WA0090.jpg
    82.5 KB · Views: 84
  • IMG-20161125-WA0088.jpg
    IMG-20161125-WA0088.jpg
    74.1 KB · Views: 95
  • IMG-20161125-WA0083.jpg
    IMG-20161125-WA0083.jpg
    38.6 KB · Views: 74
..safi kabisa.

..hawa wanatendea haki nafasi walizochaguliwa na kuteuliwa.
 
Back
Top Bottom