Mbunge wa arusha mjini hakualikwa kwenye vikao vya eac

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Nilipata tetesi toka Arusha kuwa JK alikuwepo hapo tokea majuzi na kulikuwa na vikao vya EAC na pamoja na kualikwa kwa wageni wengi cha ajabu mbunge wa jimbo hilo Mr. G. Lema hakualikwa na kiti chake kilikuwa wazi, Je hiii ni ile Rais analipiza kisasi cha wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni alipotaka kuhutubia bunge la 10??

Hoja zenu tafuadhali, na kwa wale watu wa Arusha twaombeni story mlizozipata kwa ugeni uliokuwepo hapo.
 
Back
Top Bottom