Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".
Wakati anaongea na radio 5 Arusha amenukuliwa akisema " Ninakwenda Igunga huku nikitambua kuwa uhuni na uonevu,wizi,ulaghai kwa wapiga kura unaofanywa na Chama tawala (CCM) sasa hautavumilika tena kwa sababu tu wanao polisi wenye utii kwao na sasa ni wakati wa watu wote wenye uwezo wa kukemea uovu huu wa kimfumo wawe tiyari hata kwa lolote " kwani ni heri mauti inayopatikana katika kupigania haki kuliko umri mrefu usio na wajibu katika jamii
"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "